Kitaalamu ipo vipi? Mtoto wa mwaka 1 kuwa na meno 16

Kitaalamu ipo vipi? Mtoto wa mwaka 1 kuwa na meno 16

Mtoto wa mwaka 1 na mwezi 1 yukoje wadau? Yupo kwenye stage ya kutambaa ama anatembea?

Bros Evelyn Salt na sis Carleen sijui mna watoto? Nitoeni ushamba kama mnao
Bro,
bado sijachangamka mwaya mdogo wangu, ila mtoto wa mwaka mmoja kuwa na meno 16 sidhani kama ni kawaida sana, japo yes wanadai inaweza tokea..!
 
Back
Top Bottom