Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Swali lako ni zuri ila ni la kijingaMbowe hajakuambia?
Nimeuliza swali la kijinga kuujibu ujinga wa swali lako.Swali lako ni zuri ila ni la kijinga
Na ndio maana nimeuliza hasaSio rahisi kujua kilichoandikwa kama hujakisoma hicho kitabu. Maadamu wamekiona, basi waliosoma watujuze kilichomo japo kwa muhtasari, na ambao bado kukisoma basi tukitafue na kukisoma. Ila kitabu kimepata tangazo la mauzo la bure kabisa!
Halftime"You couldn't catch me in the streets without a ton of reefer/That's like Malcolm X catching the Jungle Fever" - Nas
we si umjibu vizuri na haraka zakoMbowe hajakuambia?
Vyombo vyoote vya habari duniani vinazungumzia kesi ya mh mbowe isipokuwa uhuru na mzalendoWakuu kwanza hongereni kwa neema ya mvua kubwa popote mlipo nchini Tanzania, wacha inyeshe ili tuone panapovuja.
Leo kama ilivyo kawaida ya siku za wiki, habari kubwa ni ile ile ya siku zote ya Mh Mbowe kufikishwa Mahakamani na kuteka vyombo vyote vya habari vya dunia, sasa jambo kubwa leo ni kitabu alichokibeba na kukionyesha hadharani.
Hiki kitabu ndani yake kumeandikwa mambo gani ?
Mbona unarukia kwani wewe ndiyo Mbowe?Mbowe hajakuambia?
Endelea kuabudu mizimuNimeuliza swali la kijinga kuujibu ujinga wa swali lako.
Hayo ndiyo madhara ya kuoigania ukombozi.Sio rahisi kujua kilichoandikwa kama hujakisoma hicho kitabu. Maadamu wamekiona, basi waliosoma watujuze kilichomo japo kwa muhtasari, na ambao bado kukisoma basi tukitafue na kukisoma. Ila kitabu kimepata tangazo la mauzo la bure kabisa!
Corona aisee ilifanya maajabuHakuna Cha maana, atajua hajui, subirini muone
Zuri afu la kijinga wafipa sijui mpoje!Swali lako ni zuri ila ni la kijinga