Kitabu alichoonyesha Freeman Mbowe Mahakamani kina ujumbe gani?


Ukiyaona ya akina Lembrus Mchome utajua ndani humo kunaweza kuwapo mashabihiano.

Inafurahisha kuwa baada ya kujilinda tu kwenye kesi ya Adamoo tukidhani kuna nia njema kote ya haki kutendeka, sasa ni tuna shambulia vilivyo pia.

Kwa hakika wafu sasa wanafufuka!

Ingependeza zaidi Mosses Lijenje na Luteni Urio wangetokea upande wetu.
 
Uwe umeoa mke siku uondoke ded mtu aliyemrithi mke wako sifa zako zianze kufufuka na kukuingia wewe
 
Mbowe anamuombea Magufuli sasa?
Too late aendelee kushangilia kama alivyofanya kwenye ki video chake.
Huna akili ya kusoma hicho kitabu wewe Zuzu, umesoma cover tu unaleta tafsiri ya kilichomo? The dead are arising, yes let them arise and see!!
 
Inavuma Duniani kote kwenye vyombo gani?

Au ITV WORLD?
 
Nilichoelewa Mliodhania alietangulia kufa kwake ni mwanzo wa ukurasa mpya wa democrasia basi mumepotoka!! Mambo ni yale yale na fimbo ya Kupigia ni ileile
Ninacho hcho kitabu ngoja nikupe ukakisome mwenyewe,kina page 590 hv
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…