Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #21
Julai...Tunasubir.niliwah kusoma hiki kitabu kwa bahat tu.katika kupekura vitabu vya bro zaman kidogo 2017 nipo form 5 .kwanza nilisoma nikashtukaa!!!!
Maaana niliyosoma humo ilikua sijawah kuyasoma popotee.with evidence.
So sikuwez kukimaliza.
Natumai kupata pdf hapa
Yapo kweli mengi ya kushangaza na kushtua.