Kitabu cha Abdulwahid Kleist Sykes (1924 - 1968) katika PDF

Mzee Mohamed Mohamed Said tafsdhali kipandisheni kitabu hicho muhimu ili tujipatie maarifa yaliyomo. Siyo wote tupo karibu na hizo stationery kiongozi. Thanks in advance
 
At first, nilidhan naielewa vyema Historia adhim ya Tanzania ni hadi pale nilipokuja kupata knowledge mpya na ya kipekee yenye kuongeza maarifa na tafakar juu ya historia yetu kama Taifa, Mzee Mohamed Said heshima yako.. Nilikitafuta sana pasi mafanikio kitabu hiki
 
Nat...
Kitabu kinapatikana Ibn Hazm Media Center katika maduka yake yaliyopo Msikiti wa Mtoro, Manyema, Kichangani na Mtambani bei shs: 10, 000.00 kurasa 416.

Kinauzwa bei rahisi ili kila mtu aweze kumudu kukinunua.
 
Back
Top Bottom