Kitabu cha Abdulwahid Kleist Sykes (1924 - 1968) katika PDF

Julai...
Yapo kweli mengi ya kushangaza na kushtua.
 
Kitabu hiki nilikipata Arusha kwenye duka la vitabu mtaa clock tower [emoji556] jirani na Safari Hotel , kipindi hicho 2003 kiliuzwa 7000 au 8000 sikumbuki vizuri.

Nilivyo muazima ustadhi Mawaya sikurudishiwa ,kurudi Dukani Nako ha
Vikipo tena. nikabaki bila kujua ntakipata wapi Tena .

Mohamed Said, pamoja na Pdf hard copy yake naipa je?
 
Umu...
Nipatie Whatsapp yako.
 
Julaibibi 2017 siyo zamani. Hata kidogoπŸ™‚
 
Lycaon...
Hakikupigwa marufuku.
Kwaheshma na taadhima mkuu kama unaweza tumia watu kwa watsap it means u have a soft copy file and therefore you can do likewise hapa kwenye thread yako just y prrssing "attach files"
Simple like that.
Mtu mkubwa kama wewe najua u a mambo mengi sana kuanza kusumbuka ku save namba za strangers kwenye phone book yako kisa tu kutuma file..

Please mzee kitume hapa tujifunze sote.
Ahsante
 
Rab...
Tatizo file silioni.
Lakini anaehitaji kitabu hiki kipo Ibn Hazm bei 10,000.00.

Kipo kwa Kiingereza na Kiswahili.
 
Mlio tumiwa hakuna hata mmoja aliyepata wito wa kuki upload hapa jamvini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…