Kitabu cha Art of Seduction kimenipotezea mtoto mkali

The choosen one1

Senior Member
Joined
Dec 13, 2023
Posts
104
Reaction score
436
Me nilijua kwa kutokuwa predictable mfano siku ya Valentine sikumtumia hata text, ku keep distance kisha unarudi na vibe, kum treat kama victim.

Basi ningemsogeza karibu zaidi.

Lakini nasikitika kuwaambia kuwa kwasasa anani avoid sana , text hajibu yaani ile connection imepotea, ndege amepeperuka.
Dah Robert Greene kanipoteza.

Ushauri , nifanyeje?
 
Soma Tena, Hujaelewa kitabu

Mimi tar 13 ya Valentine nilimuahidi akija ghetto kesho ataenjoy sana maana nmemuandalia mazawadi ya kutosha,nikamjengea picha na kimuhemuhe cha kuja kesho..
Kesho yake Asubuhi mchumba alikuja mida ya saa5 ghetto akiwa na furah na anticipation kubwa, akakutana na maromance kama yote lakini mpaka inafika jion hajapata zawadi.
Alvoanza kuziulizia nkamwambia ulisema utakuja saa1 asubuh umekuja saa5, mi nkajua hauji kwahyo nkazigawa.
Dem akawa frustrated mpk jion haoni kitu, halafu zile kauli zangu akaanza kuhisi Kuna dem mwingine alikuja asubuh nikampa...akawaza mpka akaanza kulia kuwa nimemchitii...baada ya kulia sana na machoz ya huzuni kukauka nikampigisha stori za kumfariji halafu nikamsuprize Kwa kumpa zawadi zake,, akaanguka chini na akabughujikwa na machozi mengine ya Furaha kama Lucas mwashambwa.

Hiyo ndo maana ya kuwa unpredictable, yani unacheza na emotions zake unazipandisha na kuzishusha kwendana na rhythm kama vile conductor wa mziki.

Unachotakiwa ni kujua wakati gani wa kuzipandisha na wakati gani wa kuzishusha,,,ulichokosea wewe ni kushusha tempo wakati wa chorus.
 
Jamii kumbe kuna watoto. Kumbe humu kunawatu bado wanakaa geto
 
Back
Top Bottom