Kitabu cha Enoch kinawataja malaika 200 walioasi ambao ndio waliiba Siri na teknolojia za mbinguni kisha wakamfundisha Binadamu

Huko tunapoelekea itafika mahali kila mtu atakuwa na ushahidi wake kwa mfano mimi nilisoma Hadithi za Anunaki nikaanza kuwa na mashaka na Biblia nikasoma hii ila kwangu ni mara ya pili bado nina maswali Mengi Kaka naweza kukuuliza swali moja kama hutojali
 
Jambo moja mimi from withn nilikuwa naamini kuna mbingu zingine kwamba mtu akifa anaenda kufufukia sehemu fulani huku akiwa jaui wapi alipotoka wapi alipokuwa ndo maana mtoto akizaliqa analia na mtu akifa anakuwa na hofu kuna uhusiano hapa.
 
Ikiwa hadi ishu ya tunda pale eden ni samael alihusika, huyu lucifer amefanya yapi makubwa sana kiasi cha kumfanya awe populer kumzidi Samael?
 
Ila hicho kitabu cha Henoko kina utata Sana kuanzia muandishi mpaka masimulizi yake....ndio maana hata hakikuwekwa kwenye biblia.

zitto junior DR Mambo Jambo
Nop kuna Vitabu vingi havikuwekwa kwenye Biblia sio kwamba Vina contradiction ila vinaendana na imani ya Kipind kile..
Kama wangekuwa bado wanachambua Biblia kuna vitabu sasa hivi vingeondolewa
 

Uliza Mkûu kama lipo ndàni ya uwezo nitajibu
 
Cambridge English curriculum inafundisha Fiction Vs Non-fiction kutoka darasa la kwanza.

Watoto wadogo tu wanaweza kueleza hadithi za kusadikika na simulizi zenye uhalisia.
Ni kitu ambacho mitaala yetu inakosa.
 
Kwa hiyo huyo enock yeye hakuwahi kufikwa na mauti,it means yupo hai mpaka Leo.Anaishi nchi gani mpaka sasa?Ila dini dah!
 
Cambridge English curriculum inafundisha Fiction Vs Non-fiction kutoka darasa la kwanza.

Watoto wadogo tu wanaweza kueleza hadithi za kusadikika na simulizi zenye uhalisia.
Ni kitu ambacho mitaala yetu inakosa.

Tatizo linakuja NI pale hata Sisi tunaoishi Sasa hivi hadithi zetu zikisimuliwa Miaka 2000 ijayo itasemwa NI Fiction stories
 
Tatizo linakuja NI pale hata Sisi tunaoishi Sasa hivi hadithi zetu zikisimuliwa Miaka 2000 ijayo itasemwa NI Fiction stories
Kuna masimulizi ambayo yanathibitishika na yanahusu civilizations zilizokuwepo miaka 3000 B.C.E.
Mfano, Sumerians na Egyptians.
Hivyo, hata hadithi zetu zitathibitishika miaka 2000 ijayo.

Lakini, haya mambo ya malaika kushuka kutokea sijui wapi ni make-believe stories tu kwa ajili ya kujifurahisha.
Changamoto ni watu wanapoyachukulia serious sana.
 

Miaka 2000 linaweza kutokea janga ambalo hakuna historia yoyote itakayobakizwa.

NI hekima kusema, ngoja tuone. Kwa maana Sisi tumejikuta katikati. Hatukuwepo mwanzoni na bila Shaka mwishi hatutakuwepo.
Hivyo hatujui yaliyotukia na hatutajua yajayo
 
Kama kitabu gani?
Kabla sijakujibu Mkuu!
Unafahamu Kuhusu Sheria 20 za Bible Canonisation??
Unafahamu kuhusu Sheria za Grapha "Consideration of Authentification of Write"?
Unafahamu nini kuhusu Pseudepigrapha??
Unafahamu kuhusu Apokripha ambavyo Roman catholic na Eastern Orthodox wanaita Deuterocanonical books yaani The Seconds Canonical books Which are left preserves??

Unafahamu nini kuhusu the agenda in 21 ecumenical councils of the churches?


Ukiweza kujua Hivi vitu then Tutakuwa na Mjadala mzuri sana wa kuelimishana ila kama bado hujui hivyo vitu Inabdi tuanzie kwenye Basic kabisa na tutachukua Muda mrefu kuelekezana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…