Kitabu cha Enoch kinawataja malaika 200 walioasi ambao ndio waliiba Siri na teknolojia za mbinguni kisha wakamfundisha Binadamu

Hizi hadithi Zipo kama ukifanikiwa Kusoma Kitabu cha Enoch na ukapata Bahato ya Kusoma Angelology na Demonology utaelwa zaidi..

Na Pia katika vitabu vingi vya Wayahudi Kuna Hizi hadithi nyingi sana kama Talmud na zingine

Nitavipitia kimoja kimoja kadiri nipatavyo nafas
 
Robert Heriel Mtibeli tafadhali naomba link ya hicho kitabu cha enock.
Mwaka juzi nilidownload hicho kitabu na nimesoma baadhi ya chapter kadhaa , Kwa kifupi hicho kitabu ndiyo maana kiliondolewa kwenye biblia kwasababu kinafundisha Siri kubwa ya dunia hii hasa kwenye ishu za technology, civilization na miujiza pamoja na uchawi
 
Lakini kitabu cha mwanzo kinaeleza tulio la MALAIKA kuzaa na Wana WA binadamu wakazaliwa wanefili ingawaje Biblia imefupisha Sana
Jamaa hajafanya homework yake vizuri kwenye bible, mailaika wana miili tu kama sisi ila natural habitation yao ni higher dimensions ambayo sisi hatuna uwezo wa kuona, lakini wana uwezo wa kuji manifest katika ulimwengu wetu wa 3D.

Hao fallen angels wlichofanya ni kutoka katika heavenly ream na kujimanifest kwenye realm yetu then kuwaingilia wanadamu, na kutoka dimension moja kwenda nyingine ni kosa kubwa bila permission ya Mungu.

Jude 1:6 KJV
And the angels which kept not their first estate, but left their own habitation,
he hath reserved in everlasting chains under darkness unto the judgment of the great day. ....

Mfano mwingine ni kesi kwenye daniel kama sijakosea, ambapo mkono ulitokea na kuanza kuandika ukutani; kua wanauwezo wa kumanifest part ya miili yao katika habitation yetu.
 
22. Ibrahim alizaliwa Nuhu bado akiwa hai. Nuhu alikufa Ibrahim akiwa na Miaka 55
Hivyo hadithi zote za tangu Adamu Ibrahim alizipata Kwa Babu yake, Nuhu.
Robert Heriel Mtibeli ilikuwaje Baba yake Ibrahimu mzee Tera kuwa mwabudu miungu na wakati amekekuwa chini ya Nuhu na Mwanaye Ibrahimu kuwa mcha Mungu wa kweli?
 
Exactly, Au battle ya Yakobo na Mungu pia iko katika scenario hiyo hiyo ya Mungu kuwa katika wanadamu na kingine ni anguko la Sodoma na Gomora nalo pia linadhihirisha Kitu kilekile.
Pia summerian tablet versus The Ten Commandment tablet, inaonyesha utamaduni ule ule wa matumizi ya tablet kuweka kumbukumbu.
 
Kitabu cha Wasumeria kinapatikana play store?
Na kama kinapatikana kinaitwajwe jina lake?
 
Kitabu cha Wasumeria kinapatikana play store?
Na kama kinapatikana kinaitwajwe jina lake?
 
Ukweli uko ndani yako, utafute!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…