Kitabu cha Enoch kinawataja malaika 200 walioasi ambao ndio waliiba Siri na teknolojia za mbinguni kisha wakamfundisha Binadamu

Ufunuo wa Yohana 12:7-9

[7]Kulikuwa na vita mbinguni; Mikaeli na malaika zake wakapigana na yule joka, yule joka naye akapigana nao pamoja na malaika zake;

[8]nao hawakushinda, wala mahali pao hapakuonekana tena mbinguni.

[9]Yule joka akatupwa, yule mkubwa, nyoka wa zamani, aitwaye Ibilisi na Shetani, audanganyaye ulimwengu wote; akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye.

Kwenye hii vita ndiyo hiyo uliyoizungumza hapo juu? kama ndio huyo joka anayezungumzwa kama shetani ni yupi ndo huyo Samael au Lucifer?

Mkuu Mimi sijui
Lakini Lucifer Baadhi ya simulizi zinaeleza kuwa yeye hahusiki na mambo ya ushawishi na kudanganya.
Ila Samael aliumbwa Kwa Kazi hiyo.

Kilichomuangusha Lusifa ni majivuno na kiburi
Ila aliyemdanganya Eva ni Samael
 
Sio kweli sema baadhi Nuhu Mwanasayans wa kwanza alijenga meli kubwa ya kwanza duniani yaani safina kwa kuelekezwa na Mungu kuanzia vipimo,material hadi teknolojia ya ujenzi na uendeshaji hiyo meli

Na alikuwa mwanasayansi wa kwanza kujua teknolijia ya kufuga wanyama kuishi na binadamu ndani ya hiyio meli yaani safina bila wanyama wenyewe kudhuriana au kudhuru wengine.

Mungu ndie kiboko ya teknolojia na aweza mtumia yeyote kugundua kitu aliye tayari kuwa mgunduzi

Wazungu ,Wachina,wajapani nk wako tayari kwa ugunduzi na walijitoa hivyo miaka mingi ndio maana Mungu huwatumia kugundua sio Shetani

Mungu aweza mtumia yeyote kusaidia nchi au dunia kwenye jambo lolote la heri iwe biashara ugunduzi nk

Waafrika wengi hatujitoa kwa Mungu kuwa tutumie kwenye ugunduzi na teknolojia.

Tukiwa tayari atatutumis

Binadamu bila Ñguvu ya nje hawezi kuwa mwanasayansi ndîo simulizi hizô zinavyosema
 
Book of Enoch ni sehemu ndogo tu ya Saga,
Hayo mambo yote Yamo katika Sumerian tablet
Kwa ujumla wake tunaiita
THE CHRONICLES OF ANNUNAK

Hapa utapata kwanini Dunia ina race kibao na ndipo utajua saga la kina Semyaza (Enlil) na Sayansi za juu za ku clone viumbe wa Dunia,Ujenzi wa Mapyramids kama Wireless Power plant na kuweka magnetic field za hali ya juu,
Masuala ya time travel yaani Haya majamaa yalikua hayatumii magari wala Ndege yalikua yana disappear na kutokea sehemu yanayotaka na ndio Maana hapa Duniani kuna maeneo yana mageti yanayodhaniwa yalikua ni spaceport kama huko Baalbek, Puma punku,China,India,Sri Lanka ,Peru inca mpaka Aztec na Mayan kote kuna sites zinazofanana
Kiufupi tukiwaletea Haya maswala hua mnaona chai na story za kahawa ila kwa mtafiti ukianza fuatilia sites za wanaodaiwa ni Miungu utabaki kushangaa tech yaliyotumia Haya majamaa
Imagine mawe yanachongwa na raser tool hiyo tech hatuna ila majamaa yalifanya!
 
Attachments

  • 800px-Sayhuite_Archaeological_site_-_rock_sculpture.jpg
    800px-Sayhuite_Archaeological_site_-_rock_sculpture.jpg
    143.5 KB · Views: 31
  • Aurangabadellora_kailash_temple.jpg
    Aurangabadellora_kailash_temple.jpg
    86.7 KB · Views: 33
  • wpid-photo-2013-01-29-1209-am1.jpg
    wpid-photo-2013-01-29-1209-am1.jpg
    330.9 KB · Views: 33
  • inga.jpg
    inga.jpg
    56.9 KB · Views: 29
  • ancient-sumerian-stone-carving-with-cuneiform-scripting-F3D826.jpg
    ancient-sumerian-stone-carving-with-cuneiform-scripting-F3D826.jpg
    295.7 KB · Views: 30
  • pacal.jpg
    pacal.jpg
    59.3 KB · Views: 32
KITABU CHA ENOCH KINAWATAJA MALAIKA 200 WALIOASI AMBAO NDÎO WALIIBA WALIIBA SIRI NA TEKNOLOJIA ZA MBINGUNI KISHA WAKAMFUNDISHA BINADAMU

Anaandika Robert Heriel
Mtibeli

Kwa Wakristo na waumini wa Dini ya kiyahudi jina Enock siô geni Kwao. NI Moja ya binadamu ambao hawakuwahi kupatwa na umauti.

Kwa wale wasiomjua Enoch. Kw kifupi Enoch ni Moja ya Watu WA mwanzoni katika simulizi za Zamani za kiebrania ambao NI uzao wa Nuhu.

Enoch alizaliwa na Yaredi. Enock ni Babu yake Nuhu(Nuhu NI kitukuu cha Enock)

Kwa Mujibu wa simulizi za kiebrania, enock ndiye Mtu pekee aliyeweza kukutana na MALAIKA tofauti tofauti yàani zaidi ya mmoja.
Binadamu Wengine waliowahi kukutana na MALAIKA walikutana aidha na Gabriel au Mikael au Rafael

Enock ndiye Mhusika pekee aliyeweza kuwataja MALAIKA wengi zaidi Kwa majina na Sifa zào za kimaumbile.

Enoch ndiye Mhusika pekee kwèñye Biblia aliyeweza kuelezea Mianga kama Jua na Mwezi na mizunguko yake.
Enock alikuwa MTU wa kusafirishwa na MALAIKA kutoka anga Moja kuelekea ñyiñgine. Ilikuwa kawaidà Kwa Enock kupotea hata miaka 50 bila kujulikana alipo.

Enock ndiye Mhusika pekee aliyeelezea Kwa majina MALAIKA 200 Walioasi na kuzaliana na WANADAMU

Kwa jinsi nilivyoielewa simulizi ya Enock ni Kwamba, binadamu ni kama mnyama, tofauti yake ni utashi tuu.
Binadamu Hana uwezo wowote WA kubuni kitu hata Moto, sîjui, urembo, sîjui ndege, sîjui computer, sijui bastola, miongoni mwa TEKNOLOJIA zingine.

Stori ya KITABU cha ENOCH Kwa kifupi Ipo hivi;

1. Kûna mbingu 12 na kîla mbingu kuna MALAIKA wake Mkûu anayoiongoza.

2. Malaika 200 waliasi wakiongozwa na Kiongozi wao aitwaye Samzaiya.
Viongozi Wengine ni Azazel

3. Katika hao MALAIKA kîla MALAIKA alikuwa na sîfa, uwezo na Ñguvu zake.
Wàpo waliokuwa na mbawa Mbili, wàpo mbawa nne(serafi) wàpo WA mbawa sita (Makerubi) na yupo Malaika mmoja aitwaye Samael mwenye mbawa Kumi na Mbili(huyu role yake ipo kitofauti)

4. Malaika hawa walikuja kuzaa na Wanawake wa WANADAMU. Wakazaa majitu, nephili au miunguwatu(demigods)

5. Azazel Moja ya Malaika alioasi aliwafundisha Wanadamu Teknolojia za silaha, uchawi, unajimu, urembo kama kupaka makeup,
Kitabu kinaeleza kuwa MALAIKA walioasi wakawafundisha mambo meñgi sana àmbayo Kwa Sasa ndîo tunaita Teknolojia na utandawazi.
Jambo lililonishangaza NI kuona mpaka masuala ya Teknolojia ya kutumia Dawa Fulani ili Wanawake wasibebe mimba ili kutoharibu urembo wao. Hii ilifanya Baadhi ya Wanawake waliotumia Teknolojia ya Kuzuia mimba baadaye kushindwa kupata Watoto. Enock anaeleza hayo.

6. Demigods yàani wale machotara wa Malaika na binadamu ambao Kwa uelewa wàngu ndîo nahisi wanaitwa Majini. Wakawa wanakula kupita kiasi Jambo ambalo mama zào(Wanawake wa kibinadamu) walishindwa kuwalisha, wale Demigods wakaanza Kunywa damu za watu, kisha nyama zào, kisha wakawa wanakula ndege, wanyama na samaki wa baharini. Kipindi hicho nafikiri wanyama kama Godzilla waliishia kuliwa na hawa demigods.
Urefu wao(hao Demigods) ulikuwa Mita thelasini kwenda juu na walikuwa na uwezo mchangayiko yàani uwezo WA kibinadamu na kimalaika.

7. Wanadamu wakawa wanalia kutokana na kuuawa na hawa Watoto chotara(demigods au wanefili).
Kilio Chao kilitokana na dhulma ya uhai, kuchukuliwa Wake zào, kuteswa n.k.

8. Kilio Kikafika Mbingu ya Tano Huko alikuwepo MALAIKA Mikael, Gabriel, Rafael na Uriel.
Malaika hao nao cheo chao NI kikuu.
Wakaweka kikao huku wakilalamika wao Kwa wao Kwa matendo yanayofanywa na kina Samzaiya na Azazel na wenzao.

Mikael akiwa Kiongozi wa Malaika AMBAO hawakuasi akamuita Baba yao(Mungu).
Mungu akawauliza kûna nini mbona kuniita.
Wanasema(akina Mikael), tazama Samzaiya na Azazel wanachokifanya Huko Duniani. Wameiba Siri za MBINGUNI Ambazo Mwanadamu hakupaswa kuzijua lakini waô wamewapa. Wamewafunisha siri zetu, Kisha wakazaa nao Watoto. Ndio maana unasikia kilio Huko Duniani. Umwagaji WA damu umekuwa Mkubwa.

9. Mungu akatoa Amri akina Samzaiya na wenzake wakamatwe Kisha wafungwe katika maeneo mbalimbali mpaka Siku ya hukumu.

10. Kuhusu Demigods Mungu akawaambia atafutilia mbali Watoto na kizazi cha demigods na Wanadamu walioasi(walioungana na demigods) Kwa kutumia Gharika.

11. Basi kulikuwa na vita Kali Baina ya Malaika walioasi na MALAIKA waaminifu. Upande WA waliasi ukiongozwa na Samzaiya na Azazel huku upande WA MALAIKA waaminifu ukiongozwa na Mikael, Gabriel, Rafael na Uriel.
Mungu akamteua Malaika WA Mbingu ya Tano Aitwaye Samael kuhakikisha Haki inatendeka katika vita hiyo. Samael maana yake sumu y Mûngu, Malaika wa Kifo àmbayo majukumu yake yalikuwa mosi, kuhakikisha Haki inatendeka, pili, kushawishi na kujaribu viumbe Wengine Mpaka Malaika wènyewe,

12. Samael ndiye aliyeuweka MTU WA ujuzi WA Wema na ubaya pale Bustani ya Edeni na kumtumia nyoka kumdanganya Eva.

13. Samael ndiye aliyemtuma Ammado yàani Malaika wa ukahaba kumlaghai Adamu Kisha adamu akalala na Ammado na kuzaa naye Mtoto

14. Samael alikuja kuanguka baàda ya kumchukua Lilith kuwa Mkewe na kwenda naye kwèñye Mbingu ya Tano

15. Samael ndiye aliyepigana na Yakobo usiku ule ambao Yakobo alikuwa anaenda Kwa Labani Mjomba wake.
Samael ndiye prosecutor na ndiye aliyemletea majanga Ayoub katika kupima Haki na ukamilifu wa Ayoub

16. Ingawaje Watu wengi wanamhusisha Lucifer kuwa ndiye aliyemdanganya Eva lakini Samael ndiye aliyefanya Jambo hilo.

17. Nuhu hakuwa Mtoto WA kawaida. Jambo lililopelekea babaake Aitwaye Lameki kutaka kumkana Kwa kuona amebambikiwa, Methuselah babaye Lameki akapeleka habari hizô Kwa Enoch(Babu yake Lameki)
Nuhu tofauti na Watoto Wengine wanapozaliwa kwa Wakati huo. Alikuwa amezaliwa akiwa mweupe kupitiliza mwenye nywele kama za dhahabu. Kwa Sasa ungemuita albino. Lakini kama hiyo haitoshi, macho yake yalikuwa yakiwaka kama taa na kujuza mwanga chumbani
Jambo hilo lilimfanya Baba yake, Lameki kuona huenda Mkewe alilala na demigod au Moja ya wale Malaika walioasi.

18. Enoch ndiye aliyemwambia Methuselah Mwanaye kuwa asihofu kuhusu Mtoto wa Lameck kwani NI wake, na ndiye atakuwa mkombozi wa Wanadamu na amepewa jukumu la kujenga Safina àmbayo Watu nane tuu ndîo watakaookoka Wakati huo ûkifika. Enoch akamuita kitukuu chake hicho jina Nuhu.

19. Samael ndiye aliyemlaghai Eva na kuzaliwa Kaini.

20. Gharika ikaja kufuta na kuangamiza Watu wôte waovu na wale Demigods ingawaje wàpo ambao waliescape

21. Nuhu alipata nafasi ya kuingia na nguo ya Adamu Ile aliyovikwa na Mungu kipindi kile walichoasi.
Baàda ya gharika Hamu Mwanaye Nuhu aliiba Ile Nguo àmbayo ilikuwa na maajabu. Kisha Nimrodi Mjukuu wa Hamu naye akaiiba. Yeye akaweza kûitumia katika shughuli zake za Kúpiga upinde. Baadaye akawa Mfalme.

22. Ibrahim alizaliwa Nuhu bado akiwa hai. Nuhu alikufa Ibrahim akiwa na Miaka 55
Hivyo hadithi zote za tangu Adamu Ibrahim alizipata Kwa Babu yake, Nuhu.

Kwa Leo tuishie Hapa.

Ijumaa Kareem

Robert Heriel
Taikon WA Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Hii ni habari ya kufikirika ,,, kiweke hicho kitabu kila mmoja aone kama yamo!
 
tam sana
 
Binadamu bila Ñguvu ya nje hawezi kuwa mwanasayansi ndîo simulizi hizô zinavyosema
Ni sahihi lakini tatizo Mungu hutoa hiyo nguvu

Biblia inatamka wazi kuwa Mungu ndie hutoa nguvu hata za kupata utajiri

Mungu Ni mjuaji wa yote ikiwemo sayansi na teknolojia Tatizo linalokuja mtu akipata nguvu hiyo hutukuza shetani au kujitukuza yeyec badala ya Mungu na kusema Kuwa shetani ndie kampa au nimepata kwa nguvu zangu tu sio Mungu.
 
Je kwanini kamba?, Tueleze ukweli
### Facts Check: Claims about the Book of Enoch

The text makes several claims regarding the Book of Enoch and its content. Here’s an analysis of the key points to verify their accuracy:

1. 200 Fallen Angels:
- Claim: The Book of Enoch mentions 200 angels who rebelled and taught humans heavenly secrets and technologies.
- Verification: This claim is accurate. The Book of Enoch, particularly in the sections known as the "Book of Watchers," describes a group of angels, known as the Watchers, who descended to Earth, took human wives, and taught humanity various skills, including metallurgy, cosmetics, and astrology.

2. Enoch's Unique Encounters with Angels:
- Claim: Enoch is the only person in Hebrew traditions who encountered multiple angels and could describe them by name and attributes.
- Verification: This is mostly accurate. The Book of Enoch details Enoch's interactions with various angels, describing their names and functions. Enoch is portrayed as having special access to the heavenly realms and knowledge.

3. Angelic Hierarchies and Specific Angels:
- Claim: Enoch describes different types of angels with varying numbers of wings and specific roles.
- Verification: The Book of Enoch does describe different classes of angels, though the detailed description of wings and hierarchies as mentioned (two, four, six, twelve wings) is more specific to later Jewish mysticism and Christian angelology. The mention of Seraphim and Cherubim, however, aligns with biblical and extra-biblical traditions.

4. Nephilim and Demigods:
- Claim: The fallen angels mated with human women, producing giant offspring known as Nephilim or demigods.
- Verification: This claim is accurate according to the Book of Enoch. It describes the Nephilim as the offspring of the Watchers and human women, who were giants and caused chaos on Earth.

5. Azazel and Teaching Technologies:
- Claim: Azazel, one of the fallen angels, taught humans various technologies, including weapon-making, cosmetics, and other forbidden knowledge.
- Verification: This claim is accurate. The Book of Enoch attributes the teaching of forbidden knowledge to Azazel and other Watchers, leading to moral corruption among humans.

6. Divine Judgment and the Flood:
- Claim: God judged the fallen angels and their offspring, leading to their punishment and the Flood.
- Verification: This claim is accurate. The Book of Enoch describes how God ordered the archangels to bind the rebellious angels and their offspring, and foretold the coming of the Flood to cleanse the Earth.

7. Enoch’s Description of Celestial Phenomena:
- Claim: Enoch describes celestial bodies like the Sun and the Moon and their cycles.
- Verification: This claim is accurate. The Book of Enoch includes detailed descriptions of astronomical phenomena and their courses, which is part of the Astronomical Book section.

8. Enoch's Prophecies and Warnings:
- Claim: Enoch's book includes various prophecies and warnings about the consequences of sin and the importance of righteousness.
- Verification: This claim is accurate. The Book of Enoch contains numerous prophecies and moral teachings, emphasizing the consequences of the Watchers' rebellion and human sinfulness.

### Conclusion

The majority of the claims about the content of the Book of Enoch are accurate, though some specifics may blend elements from various traditions. The Book of Enoch is a complex and influential work within certain Jewish and Christian traditions, though it is not part of the canonical scriptures for most Jewish and Christian denominations.
 
KITABU CHA ENOCH KINAWATAJA MALAIKA 200 WALIOASI AMBAO NDÎO WALIIBA WALIIBA SIRI NA TEKNOLOJIA ZA MBINGUNI KISHA WAKAMFUNDISHA BINADAMU

Anaandika Robert Heriel
Mtibeli

Kwa Wakristo na waumini wa Dini ya kiyahudi jina Enock siô geni Kwao. NI Moja ya binadamu ambao hawakuwahi kupatwa na umauti.

Kwa wale wasiomjua Enoch. Kw kifupi Enoch ni Moja ya Watu WA mwanzoni katika simulizi za Zamani za kiebrania ambao NI uzao wa Nuhu.

Enoch alizaliwa na Yaredi. Enock ni Babu yake Nuhu(Nuhu NI kitukuu cha Enock)

Kwa Mujibu wa simulizi za kiebrania, enock ndiye Mtu pekee aliyeweza kukutana na MALAIKA tofauti tofauti yàani zaidi ya mmoja.
Binadamu Wengine waliowahi kukutana na MALAIKA walikutana aidha na Gabriel au Mikael au Rafael

Enock ndiye Mhusika pekee aliyeweza kuwataja MALAIKA wengi zaidi Kwa majina na Sifa zào za kimaumbile.

Enoch ndiye Mhusika pekee kwèñye Biblia aliyeweza kuelezea Mianga kama Jua na Mwezi na mizunguko yake.
Enock alikuwa MTU wa kusafirishwa na MALAIKA kutoka anga Moja kuelekea ñyiñgine. Ilikuwa kawaidà Kwa Enock kupotea hata miaka 50 bila kujulikana alipo.

Enock ndiye Mhusika pekee aliyeelezea Kwa majina MALAIKA 200 Walioasi na kuzaliana na WANADAMU

Kwa jinsi nilivyoielewa simulizi ya Enock ni Kwamba, binadamu ni kama mnyama, tofauti yake ni utashi tuu.
Binadamu Hana uwezo wowote WA kubuni kitu hata Moto, sîjui, urembo, sîjui ndege, sîjui computer, sijui bastola, miongoni mwa TEKNOLOJIA zingine.

Stori ya KITABU cha ENOCH Kwa kifupi Ipo hivi;

1. Kûna mbingu 12 na kîla mbingu kuna MALAIKA wake Mkûu anayoiongoza.

2. Malaika 200 waliasi wakiongozwa na Kiongozi wao aitwaye Samzaiya.
Viongozi Wengine ni Azazel

3. Katika hao MALAIKA kîla MALAIKA alikuwa na sîfa, uwezo na Ñguvu zake.
Wàpo waliokuwa na mbawa Mbili, wàpo mbawa nne(serafi) wàpo WA mbawa sita (Makerubi) na yupo Malaika mmoja aitwaye Samael mwenye mbawa Kumi na Mbili(huyu role yake ipo kitofauti)

4. Malaika hawa walikuja kuzaa na Wanawake wa WANADAMU. Wakazaa majitu, nephili au miunguwatu(demigods)

5. Azazel Moja ya Malaika alioasi aliwafundisha Wanadamu Teknolojia za silaha, uchawi, unajimu, urembo kama kupaka makeup,
Kitabu kinaeleza kuwa MALAIKA walioasi wakawafundisha mambo meñgi sana àmbayo Kwa Sasa ndîo tunaita Teknolojia na utandawazi.
Jambo lililonishangaza NI kuona mpaka masuala ya Teknolojia ya kutumia Dawa Fulani ili Wanawake wasibebe mimba ili kutoharibu urembo wao. Hii ilifanya Baadhi ya Wanawake waliotumia Teknolojia ya Kuzuia mimba baadaye kushindwa kupata Watoto. Enock anaeleza hayo.

6. Demigods yàani wale machotara wa Malaika na binadamu ambao Kwa uelewa wàngu ndîo nahisi wanaitwa Majini. Wakawa wanakula kupita kiasi Jambo ambalo mama zào(Wanawake wa kibinadamu) walishindwa kuwalisha, wale Demigods wakaanza Kunywa damu za watu, kisha nyama zào, kisha wakawa wanakula ndege, wanyama na samaki wa baharini. Kipindi hicho nafikiri wanyama kama Godzilla waliishia kuliwa na hawa demigods.
Urefu wao(hao Demigods) ulikuwa Mita thelasini kwenda juu na walikuwa na uwezo mchangayiko yàani uwezo WA kibinadamu na kimalaika.

7. Wanadamu wakawa wanalia kutokana na kuuawa na hawa Watoto chotara(demigods au wanefili).
Kilio Chao kilitokana na dhulma ya uhai, kuchukuliwa Wake zào, kuteswa n.k.

8. Kilio Kikafika Mbingu ya Tano Huko alikuwepo MALAIKA Mikael, Gabriel, Rafael na Uriel.
Malaika hao nao cheo chao NI kikuu.
Wakaweka kikao huku wakilalamika wao Kwa wao Kwa matendo yanayofanywa na kina Samzaiya na Azazel na wenzao.

Mikael akiwa Kiongozi wa Malaika AMBAO hawakuasi akamuita Baba yao(Mungu).
Mungu akawauliza kûna nini mbona kuniita.
Wanasema(akina Mikael), tazama Samzaiya na Azazel wanachokifanya Huko Duniani. Wameiba Siri za MBINGUNI Ambazo Mwanadamu hakupaswa kuzijua lakini waô wamewapa. Wamewafunisha siri zetu, Kisha wakazaa nao Watoto. Ndio maana unasikia kilio Huko Duniani. Umwagaji WA damu umekuwa Mkubwa.

9. Mungu akatoa Amri akina Samzaiya na wenzake wakamatwe Kisha wafungwe katika maeneo mbalimbali mpaka Siku ya hukumu.

10. Kuhusu Demigods Mungu akawaambia atafutilia mbali Watoto na kizazi cha demigods na Wanadamu walioasi(walioungana na demigods) Kwa kutumia Gharika.

11. Basi kulikuwa na vita Kali Baina ya Malaika walioasi na MALAIKA waaminifu. Upande WA waliasi ukiongozwa na Samzaiya na Azazel huku upande WA MALAIKA waaminifu ukiongozwa na Mikael, Gabriel, Rafael na Uriel.
Mungu akamteua Malaika WA Mbingu ya Tano Aitwaye Samael kuhakikisha Haki inatendeka katika vita hiyo. Samael maana yake sumu y Mûngu, Malaika wa Kifo àmbayo majukumu yake yalikuwa mosi, kuhakikisha Haki inatendeka, pili, kushawishi na kujaribu viumbe Wengine Mpaka Malaika wènyewe,

12. Samael ndiye aliyeuweka MTU WA ujuzi WA Wema na ubaya pale Bustani ya Edeni na kumtumia nyoka kumdanganya Eva.

13. Samael ndiye aliyemtuma Ammado yàani Malaika wa ukahaba kumlaghai Adamu Kisha adamu akalala na Ammado na kuzaa naye Mtoto

14. Samael alikuja kuanguka baàda ya kumchukua Lilith kuwa Mkewe na kwenda naye kwèñye Mbingu ya Tano

15. Samael ndiye aliyepigana na Yakobo usiku ule ambao Yakobo alikuwa anaenda Kwa Labani Mjomba wake.
Samael ndiye prosecutor na ndiye aliyemletea majanga Ayoub katika kupima Haki na ukamilifu wa Ayoub

16. Ingawaje Watu wengi wanamhusisha Lucifer kuwa ndiye aliyemdanganya Eva lakini Samael ndiye aliyefanya Jambo hilo.

17. Nuhu hakuwa Mtoto WA kawaida. Jambo lililopelekea babaake Aitwaye Lameki kutaka kumkana Kwa kuona amebambikiwa, Methuselah babaye Lameki akapeleka habari hizô Kwa Enoch(Babu yake Lameki)
Nuhu tofauti na Watoto Wengine wanapozaliwa kwa Wakati huo. Alikuwa amezaliwa akiwa mweupe kupitiliza mwenye nywele kama za dhahabu. Kwa Sasa ungemuita albino. Lakini kama hiyo haitoshi, macho yake yalikuwa yakiwaka kama taa na kujuza mwanga chumbani
Jambo hilo lilimfanya Baba yake, Lameki kuona huenda Mkewe alilala na demigod au Moja ya wale Malaika walioasi.

18. Enoch ndiye aliyemwambia Methuselah Mwanaye kuwa asihofu kuhusu Mtoto wa Lameck kwani NI wake, na ndiye atakuwa mkombozi wa Wanadamu na amepewa jukumu la kujenga Safina àmbayo Watu nane tuu ndîo watakaookoka Wakati huo ûkifika. Enoch akamuita kitukuu chake hicho jina Nuhu.

19. Samael ndiye aliyemlaghai Eva na kuzaliwa Kaini.

20. Gharika ikaja kufuta na kuangamiza Watu wôte waovu na wale Demigods ingawaje wàpo ambao waliescape

21. Nuhu alipata nafasi ya kuingia na nguo ya Adamu Ile aliyovikwa na Mungu kipindi kile walichoasi.
Baàda ya gharika Hamu Mwanaye Nuhu aliiba Ile Nguo àmbayo ilikuwa na maajabu. Kisha Nimrodi Mjukuu wa Hamu naye akaiiba. Yeye akaweza kûitumia katika shughuli zake za Kúpiga upinde. Baadaye akawa Mfalme.

22. Ibrahim alizaliwa Nuhu bado akiwa hai. Nuhu alikufa Ibrahim akiwa na Miaka 55
Hivyo hadithi zote za tangu Adamu Ibrahim alizipata Kwa Babu yake, Nuhu.

Kwa Leo tuishie Hapa.

Ijumaa Kareem

Robert Heriel
Taikon WA Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Kaka robert unaonaj ungetoa pdf ya kitabu umu
Namaan soft copy tusome
 
Hizi hadithi nilizisoma kwenye vitabu vya imani za kigiriki ya kale zinafanana hata na za kwenye biblia ya kawaida ,zina mfanano mkubwa.
Wahusika ni wale wale mkuu
Mfano god of science and technology wa Kemet aliitwa Thot huyo huyo kwa Wahindi ni Krishna na kwa Aztec na Mayan ni Quetzalcoatl
Na ukiangalia sites zao zinafanana na sifa za hao Miungu ni the same na wagiriki,Roman na Jamii nyingi hapo lazima ujiulize who are they?
 
Hizi mambo za Ancient alien's, Sumerian Tablets, Annunak the book of Enoch, Gospel of Peter, Revelation by Peter, Gospel of Mary Magdalene, Lilith, na mambo yanayofanana na haya, usipokua makini unaacha kumuamini Mungu.
 
Back
Top Bottom