Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #61
Hii ni habari ya kufikirika ,,, kiweke hicho kitabu kila mmoja aone kama yamo!
Nenda Play store Kisha pakua kitabu cha ENOCH ukasome
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni habari ya kufikirika ,,, kiweke hicho kitabu kila mmoja aone kama yamo!
Nitarudi...ngoja nikatafute mkate wangu wa kila siku 🍞
Huna akili
SIJASOMA HII POST ila nina uhakika kama waliiba hizo siri na kumfundisha binadamu basi huyo binadamu sio MTU MWEUSI WALAHI
Kwa hiyo Mungu hakujua kinachoendelea Duniani mpaka akaja kuambiwa na malaika ndo akastuka akachukua uamuzi wa kufuta kizazi Cha wale malaika walioasi🤔
Kwa hiyo Mungu hakujua kinachoendelea Duniani mpaka akaja kuambiwa na malaika ndo akastuka akachukua uamuzi wa kufuta kizazi Cha wale malaika walioasi🤔
Style.....Kamba
Kitabu cha Henoko kina uongo hatari usipoteze muda mfano Biblia inasema Malaika walioasi mbinguni walikuwa wengi mno theluthi ya malaika wote Biblia inatamka wazi kuwa idadi ya malaika huwezi hata kuwahesabu ni innumerable sasa one third ya malaika wasiohesabika haiwezi kuwa 200Huwa natamani kukisoma Kitabu cha Enock lakini naona uvivu
Kitabu cha Henoko kina uongo hatari usipoteze muda mfano Biblia inasema Malaika walioasi mbinguni walikuwa wengi mno theluthi ya malaika wote Biblia inatamka wazi kuwa idadi ya malaika huwezi hata kuwahesabu ni innumerable sasa one third ya malaika wasiohesabika haiwezi kuwa 200
Pili kitabu cha henoko kinasema katika hao malaika 200 wawili walirudi tena kibabe mbinguni kwenda kuiba siri kuwa walibadili majina wakapita getini huko mbinguni wakaenda kuiba siri wakaja nazo duniani
Lingine Yesu mwenyewe alisema malaika hawaoi ,hawaolewi wala kuzaliana na kiumbe chochote kitabu cha Henoko kinasema malaika wana uwezo wa kumwingilia mwanamke akabeba mimba na akazaa mtoto binadamu wa kawaida kabisa unayekutana naye barabarani. Huyo binadamu uzao wa malaika na binadamu anaitwa mnefili
Yesu ni mkuu kuliko huyo Henoko alichosema Yesu ndio sahihi .Henoko matapeli walitumia jina lake tu
Hicho kitabu cha Henoko ni hadithi za vijiweni za wahuni hakitambuliwi kwenye Biblia ya wayahudi ni hadithi za vijiwe vya kahawa
Stori za kusadikika, alfu ulela , pwagu na pwaguzi
Biblia haijasema malaika walizaa na wana wa binadamu uongo kasome tena Mwanzo 6:1-4 inasema wana wa Mungu walizaa na binti wa wabadamuLakini kitabu cha mwanzo kinaeleza tulio la MALAIKA kuzaa na Wana WA binadamu wakazaliwa wanefili ingawaje Biblia imefupisha Sana
Ahsante. Hata Mimi nilipenda kutaka kukisoma kwa shauku Moja niliona kule Quora wanakijadili . Nikakipakua kuanza kukipitia niliishia mwanzoni tu pale Wale malaika walipozaa na watu. Nikaacha kukisoma. Lakini mbona Kuna majini yanazaa na watu 😥Kitabu cha Henoko kina uongo hatari usipoteze muda mfano Biblia inasema Malaika walioasi mbinguni walikuwa wengi mno theluthi ya malaika wote Biblia inatamka wazi kuwa idadi ya malaika huwezi hata kuwahesabu ni innumerable sasa one third ya malaika wasiohesabika haiwezi kuwa 200
Pili kitabu cha henoko kinasema katika hao malaika 200 wawili walirudi tena kibabe mbinguni kwenda kuiba siri kuwa walibadili majina wakapita getini huko mbinguni wakaenda kuiba siri wakaja nazo duniani
Lingine Yesu mwenyewe alisema malaika hawaoi ,hawaolewi wala kuzaliana na kiumbe chochote kitabu cha Henoko kinasema malaika wana uwezo wa kumwingilia mwanamke akabeba mimba na akazaa mtoto binadamu wa kawaida kabisa unayekutana naye barabarani. Huyo binadamu uzao wa malaika na binadamu anaitwa mnefili
Yesu ni mkuu kuliko huyo Henoko alichosema Yesu ndio sahihi .Henoko matapeli walitumia jina lake tu
Hicho kitabu cha Henoko ni hadithi za vijiweni za wahuni hakitambuliwi kwenye Biblia ya wayahudi ni hadithi za vijiwe vya kahawa
Acha kujipa matumaini kwenye Hamna? Sisi kama weusi tumegundua nini cha kujifananisha nao kama maprofessor wetu wote wanakimbilia kwenye siasa kupiga domo na ma desk ya bungeni wale poshoYaweza kuwa kwèli.
Ila hata wazungu na jamii za Watu weupe Kwa ujumla waô siô wôte wanahizo Akili
Wengi WA wazungu 99.9% ni kama waafrika tuu
Kwenye hii sura, mtu atajiuluza bustani ya Edeni iko wap mbinguni au duniani? Kwahy hiyo vita ilipigwa huko mbinguni?[9]Yule joka akatupwa, yule mkubwa, nyoka wa zamani, aitwaye Ibilisi na Shetani, audanganyaye ulimwengu wote; akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye.
🤣🤣🤣Hizi mambo za Ancient alien's, Sumerian Tablets, Annunak the book of Enoch, Gospel of Peter, Revelation by Peter, Gospel of Mary Magdalene, Lilith, na mambo yanayofanana na haya, usipokua makini unaacha kumuamini Mungu.