Kitabu cha Enoch kinawataja malaika 200 walioasi ambao ndio waliiba Siri na teknolojia za mbinguni kisha wakamfundisha Binadamu

Hizi mambo za Ancient alien's, Sumerian Tablets, Annunak the book of Enoch, Gospel of Peter, Revelation by Peter, Gospel of Mary Magdalene, Lilith, na mambo yanayofanana na haya, usipokua makini unaacha kumuamini Mungu.
Zote hizo zilikua sehemu moja tu sema zilichambuliwa kwa umakini tu nyingne zikaachwa nyingne tukapewa.
 
Sure mkuu kuna namna hizi hadithi zote zinafanana
 
Haya mambo utachanganyikwa
 
Wazungu watakupa kila kitu ila vitabu vya kale hawakupi hata kidogo , wanakupa vilivyokuwa cloned vile halisi wanavilinda kweny maktaba zao za siri.

Wènyewe wanakuambia waô wanaakili kumbe kuna Siri zimejificha.
Binadamu bila msaada WA viumbe vya rohoni íwe NI Majini, Malaika Kwa aina zake au Mungu mwenyewe hawezi kugundua chochote.
Ila anaakili ya kufundishwa akashika.

Hatà waganga WA mitishamba Zamani Kabla ya ukoloi kuja bila ya mawasiliano na mizimu walikuwa hawatoboi
 
Wazung wajanja sana
 
Hizi mambo za Ancient alien's, Sumerian Tablets, Annunak the book of Enoch, Gospel of Peter, Revelation by Peter, Gospel of Mary Magdalene, Lilith, na mambo yanayofanana na haya, usipokua makini unaacha kumuamini Mungu.

😀😀😀

Mimi ndîo vinazidisha Imani Kwa Mûngu na kujua kipi nichakuchukua kipi cha kuacha.
Kitabu kimoja hakitoshi na kinaacha maswali mengi mno
 
Ahsante!!Hivi unaweza kujua Methuselah alikufa wakati wa Gharika au kabla gharika haijaanza?Mana kimahesabu amekufa mwaka uleule gharika ilipopiga.Nataka kujua aliondoka na gharika au haikumpiga?
 
Mtafute Mungu, usitafute Malaika wa Mungu!!

Kutafuta Malaika wa Mungu bila kumtafuta Mungu, huo ni uasi mkuu na ibada za miungu!!
 
Kwa hiyo Mungu hakujua kinachoendelea Duniani mpaka akaja kuambiwa na malaika ndo akastuka akachukua uamuzi wa kufuta kizazi Cha wale malaika walioasi[emoji848]

Ndio maana ya asili nne za ulimwengu ndipo anapopata taarifa kupitia upepo moto maji udongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…