Kitabu cha Enoch kinawataja malaika 200 walioasi ambao ndio waliiba Siri na teknolojia za mbinguni kisha wakamfundisha Binadamu

Hiki ni kitabu cha kizushi na ushahidi wote wa kihistoria na kiteolojia unaonesha kuwa Enoch au Henoko hakuwahi kuandika kitabu. Ushahidi wa kimazingira pia unaonesha kitabu hicho kilitungwa miaka mingi baadaye baada Henoko kutwaliwa mbinguni. Hicho ni kitabu cha kipepo tuu chenye lengo la kupotosha imani na historia ya ukombozi wa mwanadamu. Ni sawa tuu na wanaongalia fiction movie.
 
Kwenye hii sura, mtu atajiuluza bustani ya Edeni iko wap mbinguni au duniani? Kwahy hiyo vita ilipigwa huko mbinguni?
Eden ilikua Eridu mji wa kwanza Annunak Nephilim kuujenga hapo ndipo palipokua na Maabara kuu ya kufanyia mabadiliko ya kigenetic kuanzia Human,Animals and plants

Lengo lao ni kukamilisha misheni yao ya kuchimba dhahabu na kuipeleka Nibiru!

Hii story ipo complicated sababu watu wa dini wanaielezea kwa mtazamo wao, Sumerian, Babylonian,Indian, Aztec,Mayan,Inca Kemet,chinese,Dogon nk nao Wana mtazamo wao ila story ni Moja kila mtu anaelezea according to legends za jamii yao ila wote wapo sahihi!
 
Mwamba Kwa madongo
 
Majini ni malaika walioasi waislamu ndio huwaita majini

Kwenye familia yako au mtaani au popote ulishawahi kukutana na binadamu mtoto wa jini ambaye baba yake ni jini? Iwe kijijini, mtaani,ofisini,bungeni,mahakamani au kwenye daladala au bodaboda nk ? Au popote Ukikutana na binadamu ambaye baba yake jini? Na mama yake binadamu mndengereko ,mzaramo ,mkwere nk

Labda tupe ushuhuda wa mnefili yeyoye maarufu ambaye ni mtoto wa jini baba yake jini na mama yake binadamu

Toa mfano wa watu maarufu mwenye baba jini nani hapa Tanzania
 
Hicho kitabu kinamuelezaje Lucifer tuliyeaminishwa ni baba wa wa uongo audanganyaye ulimwengu.
 
Kwann asitupwe sehem ingne atupwe dunian hapa hapa, au duniani ndo kuzimu yenyewe
 
Hio wengine tumewahi shuhudia! Na baadae baba wa mtoto aliwahi toweka, lakn dogo bado yupo!!
 

Ukweli hakuna aujuaye. Hatà kwèñye hicho unachoamini huenda siô kwèli
 
Biblia yote imechambuliwa sana na baadhi ya vitu vimetolewaa. Kama vitabu na sehemu ya mafundishisho.
Ukosom biblia kuna baadhi ya vifungu vinavitaja vitabu vilivyo yakiwa kuwepo kwenye bible lakin havipo
Mfano
The book of solomon the seer
The book of jesha
The book of cronicals of the king
So bible kuunga codes zake inakuwa ngumu sana ndo maana ikikushinda utaona ni hadithi za alufu na olela.
Bible ni sacred book, hamna sacred book rahisi.
Ila mwisho wa siku lazima uchague upande
 
Majini yanazaa na watu??
Unayajua majini au hata mtoto mmoja chotara wa ujinini na ubinadamu?
 

Na ndîo maana Sisi tutasoma yote yatakayoweza kupita kwèñye macho yetu
 
Usichojua ni kwamba Enock alikutana na ''Mungu mwenyewe"
Enock ni descendant wa Uzao wa EL inasemekana ni mtoto wa Enki anayetokana na uzao wa EL, wakati Elohim walipokubaliana mwanadamu aangamie na Gharika, Enki alimtuma mmoja wa watoto wake aende akamlinde Nuhu, baadaye Enki aliagiza kuwa Nuhu ajenge Safina.
SOURCE: 1.The lost book of Enki
2.The Epic of Gilgamesh
 
Mamaee mvurugiko siô pouwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…