Kitabu cha Enoch kinawataja malaika 200 walioasi ambao ndio waliiba Siri na teknolojia za mbinguni kisha wakamfundisha Binadamu

Lucifer ndio mhusika mkuu, hao wengine ni wajakazi wake
 
Duh hadi Mungu ameibiwa....
 
Mkuu vipi kuhusu majini? Yana uhusiano na annunaki, vipi kuhusu mungu wa waislamu allah naye ana uhusiano wowote na hao
 
Kuna sehemu nilisoma kuna uwezekano miaka kadhaa maelfu na maelfu iliyopita kulikuwa na great civilisation kushinda ya kwetu sasa hivi yenye teknolojia hata zaidi ya kwetu ikafutika. Hata wanadai yetu pia huenda ikafutika kabisa bila kuacha historia wala kumbukumbu ikaibuka nyingine mpya kabisa isiyojua historia ya kwetu.

Pia hawa wanyama kama Godzilla kina dinosaur walikuwepo wakati wa Nuhu na kabla huenda gharika iliwasomba.

Ila inaonekana madem wa enzi hizo walikuwa visu pisi kali hadi malaika kuwatamani?

Ila tuweni wavumilivu tu. Tukishakufa tutajuwa siri zote.
 
.
 
Robert Heriel Mtibeli.
shukurani kwa tafsiri na ufafanuzi wako huu, ila nina maswali kadhaa kwako

1. Kwa kipengele namba 4, umesema "Malaika walioasi walizaa na wanadamu" swali langu, je kwani Malaika wanazaana wao kwa wao? Na je Malaika wana umbile (mwili) hadi waweze kuingilia na binadamu?

2. Hivi binadamu akisex na mnyama, yoyote je code zao zaweza kukubali na kuweza kuzaa kiumbe?
Na je code za binadamu na za Malaika zinaweza kuwa sawa hadi kuweza kuzaa kiumbe?

3. Kwenye namba 20 umeelezea kuhusu gharika na kwamba kuna baadhi ya watu walio escape, Je waliwezaje ku escape kutokana na kwamba mvua ilinyesha muda wa siku 40?

4. Huyo Malaika Samael yupo wapi kwa sasa?

5. Ipi tofauti ya Samael na Lucifer?

6. Ipi tofauti ya majini na Malaika wale 200 walioasi?

7. Huyu Ammado aliyetumwa na Samael alizaa mtoto yupi na Adam na je uzao huo upo hadi sasa?

8. Huyo naye Liliati aliyezaa na huyo Samael, alizaa mtoto yupi na kwa sasa ni uzao upi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…