Sorry Kama umehisi Nimefanya Academic Intimidation!..
Sikutaka Nifike Kwenye Kuchambua Context na contents za Kitabu cha Luke lakini kwakuwa UmeInsist ok lets Go to the mission...
SASA KWAKUWA UMETAKA UCHAMBUZI SASA SOMA KWA UMAKINI HAPA CHINI, KABLA YA KUJIBU HOJA
Tuanze Na The adressee Of the Book of Luke..
(Mwandikiwa wa Kitabu cha Luke) ambaye alikuwa Theophilo au Theophilus Mwana wa Ananus Mtukufu...
Kama Unasoma Extra biblical History Utagundua kwamba Theophilus amefariki Mwaka 47 AD (Ambaye alikuwa high priest wa Jerusalem from 37-41 AD, ambaye alikuwa mtoto wa Annas (Anna) na Shemeji yake Caiaphas (Kayapha)..)
Na ikumbukwe amefariki miaka kumi au kumi na kitu Tangu Yesu afariki na Ikumbukwe Kitabu cha Luka kimeandikwa Mwaka 90s AD mpaka 100s AD..
Miaka 40 mpaka 50 baada ga Kufariki kwa Theophilus..
Sasa Kama Kitabu cha Luka Kimeandikwa Miaka 50 Baada ya kufariki kwa Theophilus unahisi Ni theophilus Gani aliyekuwa anaandikiwa Ambaye alikuwa kwenye Position ya Uongozi enzi hizo??
huoni kama Ni fabricated Story???
Japo some Churches Historian wana identifies Theophilus kama later high priest
yaani Mattathias ben Theophilus, ambaye yeye alitumikia from 65 to 66.
wakisema kwamba Luka alimtaja priest Joseph ben Caiaphas simply kwa "Caiaphas". yaani Kayapha...Thus, the reasoning goes, Luke used this pattern when addressing Theophilus.
Lakini Bado Huyo Theophilus mwingine na Yeye alifariki miaka ya 73 AD Kabla ya Uandishi wa Kitabu cha Luka..
Umesema Kuhusu Context Za kitabu cha luka Ni sawa na Context Zingine za Vitabu vyenzake Vya Injili (Synoptic Gospel)? Sidhani....Kwakuwa umeenda kwenye Contradictory facts na nilikuwa sitaki tufike huku haya sawa..
Tuangalie Context Moja Pendwa UKOO WA YESU Kwenye Injili mbili LUKE NA MATHAYO.Kila mmoja kaeleza
Baba Yake na Yusuph (ambaye ni Babu yake na Yesu)..
Ukisoma kwenye Mathayo Alikuwa anaitwa
Yakobo (Mathayo 1:16) na ukisoma kwa Luka aliitwa ni
Eli (Luka 3:23)..
From There the whole Clan ikapotea kabisa..
From eli to
Zerubabeli.. Yaani namaanisha Ukoo wote wa Mathayo na ukoo wa Yesu wa Luka uko tofauti mpaka Kwa Zerubabeli....
Na hata Tukianza Kumchambua Ukoo Huo nataka Uwe makini Hapa uweke Akili zako zote hapa..(Si Unamtetea Luka?)..
Hakuna Doubt kwamba Zerubabeli Baba yake Alikuwa Sheatiel (Luka 3:27)..
View attachment 3044958
Lakini Nasikitika kukwambia Kwamba Zerubabeli (Zorobabel) hakuwahi kuwa na Mtoto anaitwa Rhesa wakati wowote ule kama Alivyotuambia Luka..
Soma (
1 Mambo ya Nyakati 3:19-20.) Unakuta kwamba Zerubabel alikuwa na watoto watano ila Rhesa sio Miongoni mwa wanae..
Kulikuwa na
Meshulamu,Hanania,Shelomithi,Hashuba,oheli,berekia,hasadia,Yushab-Hesedi...
View attachment 3044963
Ambapo kama Msomi mzuri wa Luka 3:27 Utagundua Kwamba Rhesa hakuwa miongoni mwa watoto wa Zerubabeli sasa Luka alimtoa wapi????
Na utagundua kwamba hata Baba yake na Sheatiel kama alivyotajwa kwenye
Luka 3:27 Kuwa ni
Neri kitu ambacho sio kweli Tukirudi Agano la kale
1 Mambo ya nyakati 3 Na hata kwenye
Mathayo 1..
Kwa Mujibu wa
Mathayo 1:12 Baba yake na Sheatiel alikuwa anaitwa Yekonia..
View attachment 3044967
Na hata kwenye
1 Mambo ya Nyakati 3:17..
Baba yake na sheatiel alikuwa yekonia Na sio Neri kama Luka alivyosema..
View attachment 3044971
Sasa Jiulize kuwa Huyo Neri Luka alimpata wapi..
Hata hivyo tukienda kuhusu Mwana wa Daudi wote wanafahamu kuwa Yesu Ni Mwana wa Daudi ils swali ni kwamba kwa Mwana yupi wa Daudi ukoo wa Yesu unaandikwa???
Ukisoma kwa
Luka 3:31 Atakuwambia Nathan (Kitu ambacho Sio Cha kweli) Ndyo Mtoto wa Daudi Ukoo wa Yesu Ulipotokea..
View attachment 3044975
Ukoo wa Yesu Unatoka kwa Suleiman Mtoto wa Daudi kama Alivyotabiriwa..na kama Alivyosema Mathayo 1:6-7
View attachment 3044976
Sasa sijui kama umeweza Kusoma na Kuchunguza Context ya Hivyo vitu..
Na ukaona kuwa Luka ni just Fabricated story ilichukua Maarifa yake kutoka Q Sources na Mark sources na Kuongeza Maarifa yske yake yasiyo ya Kweli ...
Nakukaribisha kwa Hoja Yakinifu Mkuu..
Kama utahitaji hoja Zaidi Niambie..
Ila tambua Kwamba Luka Ni kitabu Kinachopotosha na hakikustahili kuwa kwenye Biblia