Chief Mwigendya
Senior Member
- Nov 28, 2024
- 172
- 136
Kama ni hivyo ikulu inahitaji utakaso wa kiroho vinginevyo hiyo damu iluyomwagika humo ikulu itawalilia milele.Wacha kupotosha. Nani kakuambia Magufuli alimuita Saanane Ikulu?
Saanane alitekwa na kupelekwa Ikulu. Wakati wa mahojiano Mwendazake alipata hasira na kufyatua bastola yake.
Hoja yako imelenga kuaminisha watu kuwa marehemu alikuwa mwadilifu na kuwa alipambana na ufisadi (watafuna keki ya taifa). Hoja hii ingekuwa na mashiko kama ungeweza kutupatia majibu ya maswali haya machache:Aliyoyaandika Kabendera yana baraka zote za hao hao unaowasema, lengo ni lilelile kuharibu taswira ya marehemu maana ili mentality yake na ideology zake zinaogopwa na watafuna keki ya Taifa.
Kipi cha ajabu hapo na mnavyopenda kukulana vile?Kwahiyo wameruhusu iandikwe habari kuwa Mwendake alitaka kumfanyia jambo Bi. Mkubwa?
Watu wanajaribu kuvaa viatu vyake wanaona kabisa haviwatoshi; kwa muda mfupi mwamba alipiga kazi ya maana, wanajaribu lakini wanachemka, dawa pekee ni kumchafua. Yale yale wanayo mchafua nayo, wanafanya zaidi yake, tofauti yao na yeye ni hi, yeye alifanya huo uchafu huku anafanya kazi za maana, zinaonekana, zina TIJA kwa wananchi na wananchi wanaona, wao inabidi watafutwe wapiga debe kutwambia kilicho fanywa as if hatuna macho, hatuoni.Aliyoyaandika Kabendera yana baraka zote za hao hao unaowasema, lengo ni lilelile kuharibu taswira ya marehemu maana ili mentality yake na ideology zake zinaogopwa na watafuna keki ya Taifa.
Abby UladuUmeongea uongo mtupu wakati juzi tu hapo kjna kitabu kina mkashifi bush na viongozi kibao.huwa mnaongea kama mmekatwa vichwa foolish
Please be a critical thinker:Ninahakika watawala hivi sasa wako shocked na yaliyomo katika kitabu cha Mwandishi, Erick Kabendera kilichopewa jina la "IN THE NAME OF PRESIDENT "
Watawala wataanza kuingia hofu kumbe hakuna siri hata wale tuliowaamini na kuwapa kazi ya kusimamia hizi operation ndio wa kwanza kutoa siri kwa watu ambao hakupaswa kujua nini kilitokea.
Watawala wataanza kujiuliza: Kama ya Mwendake yametoka hadharani, ya kwetu hayajatoka au hayatatoka siku tukitoka madarakani?
Watawala kwa sasa wako shocked na wamevurugwa na ndio maana wako kimya hawajui wa-react vipi na itawachukua muda kabla ya kutoa mwongozo wa namna ya kujibu hizi tuhuma.
Ukimya huu unanifanya niamini aliyoyaandika Kabendera yana ukweli hata kama sio yote. Vinginevyo, wangeshatoka hadharani kukanusha na pengine hata kuitaka serikali ya Uingereza imrudishe Kabendera nyumbani aje ajibu tuhuma hizi.
Jiulizeni inakuwaje Bi. Mkubwa nae katajwa katika hiki kitabu kuwa Mwendake alitaka kumfanyia jambo baya ila mpaka sasa hakuna alietoka kukanusha ?Mnafikiri ni hivi hivi tu?
Hivyo, ukimya huu una jambo nyuma yake na si ajabu baada ya muda baadhi ya watu wakaondolewa kwenye nafasi zao na wengine kupotezwa kimya kimya.
Kitabu hiki cha Kabendera, kinaweza kuleta mapinduzi makubwa katika vita hii ya kupinga vitendo vya utekaji na mauji.
Nashawishika kuamini kuwa Kitabu hiki kingetoka mapema, huenda kina Mzee Kibao na wengine waliouwawa au kupotea yasingewakuta yaliyowakuta.
Binafsi, kitabu hiki nakiona ni silaha ya ushindi katika vita ya kupinga vitendo vya utekaji na mauaji hapa nchini.
Tundu Lissu and Erick Kabendera, they both survived assassination attempts not to continue living, but to fulfil God's mission.
Blind acceptance is the enemy of knowledge to many Africans.Never been a fan of politics na madrama
Sema nimegundua mtu mweusi ni rahisi sana kumtawala, useme chochote and they will blindly believe.
Ndo mana bado watu wanajazana kwa mashehe na mapadri kuuziwa maji ya kifala
Muda utaongeaPlease be a critical thinker:
Hakuna udhalimu mbaya uliofanywa na TISS kama ule wa kumuua Mzee KIbao - Ulikuwa ni unyama. Na TISS pamoja na Polisi wameduwaa kuwa Mauaji na utekaji wa kinyama uliofanywa nchini kipindi hiki ndiyo umezidi, zaidi ya watu 200.
Ku-balance mambo: Kitabu kinakuja, JPM alimua Beni Saa nane cold blooded kwa kumzaba risasi. Yaani Ikulu. Halafu huyu huyu muuaji akavaa pajama akaenda kwa Makamu akataka kumbaka Makamu wa Rais. Duuuuuuu. Hivi unaijua Nyumba ya Makamu wa Rais? Ina vijakazi wangapi? Ina ndugu wangapi? Na hapo mlangoni huyu Rais yaani Rais mbakaji alitokaje maana hata mlango inabidi afunguliwe ndiyo atoke. Stupid.
Kazi hii ni 100% ya TISS - hata mahakamini kesi haiwezi kupokelewa.
Soma hii " Both Oposition and government sources I have spoken to confirm that ---- was taken to State House where the president, who always carried a gun, personally short him in the head. His boy was then damped in the river Rufiji"
Sikatai kuwa aliuawa, lakini kuwa JPM halfu Ikulu, na hadi leo tusijue? Opposition gani hao ambao walijua? Hapa opposition akina Lisu? Walimtaja Makonda, etc etc kuwa ndiyo alifanya harakati za kumpiga Lisu Risasi halafu wafiche siri ya JPM kumpiga risasi Beni. Yaani hii ingekuwa habari kubwaaa kuliko zote!!
Kijana kapewa kitu aandike, na nilipoangalia na kusikiliza video yake ni kweli ana uchungu sana na mama yake, na kweli anataka kwa kila lolote amlipue JPM na kuenzi mama yake na nafsi yake: Ethical Dilemma-
Tungojee
Duh!..we jamaa wewe ....Hiki kitabu kiingizwe kwenye mitaala
Kuna kitu ambacho huwa Waafrika wengi hatukielewi. Katiba hii hii ingekuwa ina watu wastaarabu ingefuatwa na wangekuwa wanafanya Amendments tu; utaandikaje katiba mpya wakati hata hii ya mwanzo hujaielewa? Kuna mtu mwenye utashi wa kufuata katiba katika nchi hizi? Hata Polisi ndiyo wa kwanza kuvunja katiba (sheria)Dawa ya kweli ni Katiba Mpya tu
Hii ngoma ndo inaanza UPYAAYaani sikutegemea kumbe Jiwe ndiyo aliyemfumua za kichwa Ben tena Ikulu. too sad. Afu vigogo wa CCM wakajua ila wakachuna laaah.
Kifupi jamaa hakuwa sawa - tuwe wakweli.
Point .Kabendera ametumia IQ ndogo ya watanzania kama opportunity ya kuuza kitabu chake .mimi na iman kabisa kitabu chenye kimrsajiriwq kama gazeti la udaku .jina lenyewe tu mashaka matupu .IN THE NAME OF PRESIDENT.Kipindi Cha magufuli Kila step kigogo alikua anavujisha, yeye mwenyewe alijua Kuna leaks kwenye circle yake ya karibu, ni mjinga tu anaweza kuamini kua na resources zote at hand alizonazo Bado alimuita saa 8 ikulu eti akamshoot point blank.... Hizo habari kina kigogo isingepita hata Lisaa wangekua nazo
Hakika mambo ni vilevileKabendera anaweza kutoa kitabu kingine kumuhusu “mama” sababu style ya utekaji na upotezaji watu ni ile ile
Yaani ni kama vile kile kikosi kilichopo State House hakijavunjwa na kinaendelea kuchapa kazi as if nothing has changed