Kitabu cha Erick Kabendera huenda kikafanya vitendo vya utekaji na mauji vikapungua kama sio kwisha kabisa

Kitabu cha Erick Kabendera huenda kikafanya vitendo vya utekaji na mauji vikapungua kama sio kwisha kabisa

Wacha kupotosha. Nani kakuambia Magufuli alimuita Saanane Ikulu?
Saanane alitekwa na kupelekwa Ikulu. Wakati wa mahojiano Mwendazake alipata hasira na kufyatua bastola yake.
Kama ni hivyo ikulu inahitaji utakaso wa kiroho vinginevyo hiyo damu iluyomwagika humo ikulu itawalilia milele.
 
Aliyoyaandika Kabendera yana baraka zote za hao hao unaowasema, lengo ni lilelile kuharibu taswira ya marehemu maana ili mentality yake na ideology zake zinaogopwa na watafuna keki ya Taifa.
Hoja yako imelenga kuaminisha watu kuwa marehemu alikuwa mwadilifu na kuwa alipambana na ufisadi (watafuna keki ya taifa). Hoja hii ingekuwa na mashiko kama ungeweza kutupatia majibu ya maswali haya machache:
1. Ni nini tafsiri ya kuanzisha miradi kama bwawa la umeme, reli ya mwendo kasi, uwanja wa kimataifa wa ndege wa Chato, ununuzi wa ndege n.k bila kufuata sheria ya manunuzi ya umma (public procurement act)?
2. Matumizi ya pesa za umma nje ya bajeti iliyopitishwa na bunge yanalenga nini?
3. Rais anapotembea na mabulungutu ya pesa na kugawa kama zawadi, hizo pesa anazitoa wapi?
4. Pesa zilizonyang’anywa kutoka kwa wenye maduka ya kubadilisha pesa na zilizopatikana kwa utaratibu wa plea bargaining, na vitambulisho vya wafanyabiashara ziliingizwa kwenye akaunti ipi ya serikali?
5. Je, pesa zilizopatikana kwa utaratibu huo ziliingizwa kwenye makadirio ya bajeti ya serikali kama mapato ya ndani?
6. Unamfahamu aliyesimamia zoezi la kifisadi la uuzaji wa nyumba za serikali wakati wa urais wa Mkapa?
 
Binafsi sielewi kuwa Kwa nini baadhi yetu hatuamini kuwa aliyoyaandika Kabendera ni ya kweli tupu ili Hali tunajua fika nini mambo yalivuokuwa, kama hayo si ya kweli basi aletwe Ben Sanane.
 
Mimi kama Mtanzania naona aibu ..nitakuwa mtu wa mwisho kabisa kuamini kuwa haya yanayotoka sasa yana msaada kwa nchi hii.
Kuichafua image ya JPM kwetu itakuwa ngumu sana kwasababu common sense ( akili ya kawaida) inaingiza haya yote katika namna yetu ya kupeleka mambo yetu ya kitaifa.
Ushauri wangu kwenye hili ni mdogo sana..
"Tuache upepo wa kitabu upite then tuingize hii hadithi mbaya ktk list ndefu ya habari nzito zisizo na majibu".
 
Aliyoyaandika Kabendera yana baraka zote za hao hao unaowasema, lengo ni lilelile kuharibu taswira ya marehemu maana ili mentality yake na ideology zake zinaogopwa na watafuna keki ya Taifa.
Watu wanajaribu kuvaa viatu vyake wanaona kabisa haviwatoshi; kwa muda mfupi mwamba alipiga kazi ya maana, wanajaribu lakini wanachemka, dawa pekee ni kumchafua. Yale yale wanayo mchafua nayo, wanafanya zaidi yake, tofauti yao na yeye ni hi, yeye alifanya huo uchafu huku anafanya kazi za maana, zinaonekana, zina TIJA kwa wananchi na wananchi wanaona, wao inabidi watafutwe wapiga debe kutwambia kilicho fanywa as if hatuna macho, hatuoni.
 
Ninahakika watawala hivi sasa wako shocked na yaliyomo katika kitabu cha Mwandishi, Erick Kabendera kilichopewa jina la "IN THE NAME OF PRESIDENT "

Watawala wataanza kuingia hofu kumbe hakuna siri hata wale tuliowaamini na kuwapa kazi ya kusimamia hizi operation ndio wa kwanza kutoa siri kwa watu ambao hakupaswa kujua nini kilitokea.

Watawala wataanza kujiuliza: Kama ya Mwendake yametoka hadharani, ya kwetu hayajatoka au hayatatoka siku tukitoka madarakani?

Watawala kwa sasa wako shocked na wamevurugwa na ndio maana wako kimya hawajui wa-react vipi na itawachukua muda kabla ya kutoa mwongozo wa namna ya kujibu hizi tuhuma.

Ukimya huu unanifanya niamini aliyoyaandika Kabendera yana ukweli hata kama sio yote. Vinginevyo, wangeshatoka hadharani kukanusha na pengine hata kuitaka serikali ya Uingereza imrudishe Kabendera nyumbani aje ajibu tuhuma hizi.

Jiulizeni inakuwaje Bi. Mkubwa nae katajwa katika hiki kitabu kuwa Mwendake alitaka kumfanyia jambo baya ila mpaka sasa hakuna alietoka kukanusha ?Mnafikiri ni hivi hivi tu?

Hivyo, ukimya huu una jambo nyuma yake na si ajabu baada ya muda baadhi ya watu wakaondolewa kwenye nafasi zao na wengine kupotezwa kimya kimya.

Kitabu hiki cha Kabendera, kinaweza kuleta mapinduzi makubwa katika vita hii ya kupinga vitendo vya utekaji na mauji.

Nashawishika kuamini kuwa Kitabu hiki kingetoka mapema, huenda kina Mzee Kibao na wengine waliouwawa au kupotea yasingewakuta yaliyowakuta.

Binafsi, kitabu hiki nakiona ni silaha ya ushindi katika vita ya kupinga vitendo vya utekaji na mauaji hapa nchini.

Tundu Lissu and Erick Kabendera, they both survived assassination attempts not to continue living, but to fulfil God's mission.
Please be a critical thinker:
Hakuna udhalimu mbaya uliofanywa na TISS kama ule wa kumuua Mzee KIbao - Ulikuwa ni unyama. Na TISS pamoja na Polisi wameduwaa kuwa Mauaji na utekaji wa kinyama uliofanywa nchini kipindi hiki ndiyo umezidi, zaidi ya watu 200.

Ku-balance mambo: Kitabu kinakuja, JPM alimua Beni Saa nane cold blooded kwa kumzaba risasi. Yaani Ikulu. Halafu huyu huyu muuaji akavaa pajama akaenda kwa Makamu akataka kumbaka Makamu wa Rais. Duuuuuuu. Hivi unaijua Nyumba ya Makamu wa Rais? Ina vijakazi wangapi? Ina ndugu wangapi? Na hapo mlangoni huyu Rais yaani Rais mbakaji alitokaje maana hata mlango inabidi afunguliwe ndiyo atoke. Stupid.

Kazi hii ni 100% ya TISS - hata mahakamini kesi haiwezi kupokelewa.

Soma hii " Both Oposition and government sources I have spoken to confirm that ---- was taken to State House where the president, who always carried a gun, personally short him in the head. His body was then damped in the river Rufiji"

Sikatai kuwa aliuawa, lakini kuwa JPM halfu Ikulu, na hadi leo tusijue? Opposition gani hao ambao walijua? Hapa opposition akina Lisu? Walimtaja Makonda, etc etc kuwa ndiyo alifanya harakati za kumpiga Lisu Risasi halafu wafiche siri ya JPM kumpiga risasi Beni. Yaani hii ingekuwa habari kubwaaa kuliko zote!!

Kijana kapewa kitu aandike, na nilipoangalia na kusikiliza video yake ni kweli ana uchungu sana na mama yake, na kweli anataka kwa kila lolote amlipue JPM na kuenzi mama yake na nafsi yake: Ethical Dilemma-

Tungojee
 
Never been a fan of politics na madrama
Sema nimegundua mtu mweusi ni rahisi sana kumtawala, useme chochote and they will blindly believe.
Ndo mana bado watu wanajazana kwa mashehe na mapadri kuuziwa maji ya kifala
Blind acceptance is the enemy of knowledge to many Africans.
 
Hawa ndio waandishi wa habari wanaotakiwa.mwingine niliyekuwa namkubali sana ni Generali ulimwengu,sijui Kwa Nini siku hizi yuko kimya
 
Please be a critical thinker:
Hakuna udhalimu mbaya uliofanywa na TISS kama ule wa kumuua Mzee KIbao - Ulikuwa ni unyama. Na TISS pamoja na Polisi wameduwaa kuwa Mauaji na utekaji wa kinyama uliofanywa nchini kipindi hiki ndiyo umezidi, zaidi ya watu 200.

Ku-balance mambo: Kitabu kinakuja, JPM alimua Beni Saa nane cold blooded kwa kumzaba risasi. Yaani Ikulu. Halafu huyu huyu muuaji akavaa pajama akaenda kwa Makamu akataka kumbaka Makamu wa Rais. Duuuuuuu. Hivi unaijua Nyumba ya Makamu wa Rais? Ina vijakazi wangapi? Ina ndugu wangapi? Na hapo mlangoni huyu Rais yaani Rais mbakaji alitokaje maana hata mlango inabidi afunguliwe ndiyo atoke. Stupid.

Kazi hii ni 100% ya TISS - hata mahakamini kesi haiwezi kupokelewa.

Soma hii " Both Oposition and government sources I have spoken to confirm that ---- was taken to State House where the president, who always carried a gun, personally short him in the head. His boy was then damped in the river Rufiji"

Sikatai kuwa aliuawa, lakini kuwa JPM halfu Ikulu, na hadi leo tusijue? Opposition gani hao ambao walijua? Hapa opposition akina Lisu? Walimtaja Makonda, etc etc kuwa ndiyo alifanya harakati za kumpiga Lisu Risasi halafu wafiche siri ya JPM kumpiga risasi Beni. Yaani hii ingekuwa habari kubwaaa kuliko zote!!

Kijana kapewa kitu aandike, na nilipoangalia na kusikiliza video yake ni kweli ana uchungu sana na mama yake, na kweli anataka kwa kila lolote amlipue JPM na kuenzi mama yake na nafsi yake: Ethical Dilemma-

Tungojee
Muda utaongea
 
Yaani sikutegemea kumbe Jiwe ndiyo aliyemfumua za kichwa Ben tena Ikulu. too sad. Afu vigogo wa CCM wakajua ila wakachuna laaah.

Kifupi jamaa hakuwa sawa - tuwe wakweli.
 
Dawa ya kweli ni Katiba Mpya tu
Kuna kitu ambacho huwa Waafrika wengi hatukielewi. Katiba hii hii ingekuwa ina watu wastaarabu ingefuatwa na wangekuwa wanafanya Amendments tu; utaandikaje katiba mpya wakati hata hii ya mwanzo hujaielewa? Kuna mtu mwenye utashi wa kufuata katiba katika nchi hizi? Hata Polisi ndiyo wa kwanza kuvunja katiba (sheria)
 
Walishazoea kula nyama za watu hawawezi kuacha
 
Yaani sikutegemea kumbe Jiwe ndiyo aliyemfumua za kichwa Ben tena Ikulu. too sad. Afu vigogo wa CCM wakajua ila wakachuna laaah.

Kifupi jamaa hakuwa sawa - tuwe wakweli.
Hii ngoma ndo inaanza UPYAA
 
Kipindi Cha magufuli Kila step kigogo alikua anavujisha, yeye mwenyewe alijua Kuna leaks kwenye circle yake ya karibu, ni mjinga tu anaweza kuamini kua na resources zote at hand alizonazo Bado alimuita saa 8 ikulu eti akamshoot point blank.... Hizo habari kina kigogo isingepita hata Lisaa wangekua nazo
Point .Kabendera ametumia IQ ndogo ya watanzania kama opportunity ya kuuza kitabu chake .mimi na iman kabisa kitabu chenye kimrsajiriwq kama gazeti la udaku .jina lenyewe tu mashaka matupu .IN THE NAME OF PRESIDENT.
 
Kabendera anaweza kutoa kitabu kingine kumuhusu “mama” sababu style ya utekaji na upotezaji watu ni ile ile

Yaani ni kama vile kile kikosi kilichopo State House hakijavunjwa na kinaendelea kuchapa kazi as if nothing has changed
Hakika mambo ni vilevile
 
Back
Top Bottom