Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Mkuu
Tunajuaje labda waliopo madarakani wameruhusu hilo ili kisafisha njia 2025?
 
Mnajua matamko yenu ya sisiem yanafanya kazi kila mahali? Shwaiiin
 
Lengo lake unadhani ni kuuza hiki Kitabu Tanzania....!?
Kitabu kinauzwa Ulaya saa hii.
 
Kabendera anatumika na nchi jirani kuichafua Tanzania.

Lengo sio Magufuli bali ni Tanzania.
 
Halijifichi eeh halijifichi pembe la ng'ombe..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…