Magufuli mwenyewe naye wakuja tuHuyu jamaa achunguzwe hata uraia wake hawa Kina Kabendera wengi wanatokea nchi jirani sitaitaja ila najua mmeshanielewa.
Very savage behaviour, We had very stupid and imbecile president, just like one we have now. Both are triggers' happy. Watekaji na wauaji. walijifanya miungu mtu. SHAME ON THEMIle kauli ya magu kuwa kikwete ni mvumilivu yeye angewatwanga risasi ilionyesha tabia yake.
Wauaji wakubwa nyie. Wamefungua macho mangapi!?Kaandika upuuzi sana. Hivi kweli rais amuite mtu ikulu halafu ampigie Risasi na kumuua hata kama alikua anataka kumuua Rais ana vyombo vingi hizi Tuhuma ni nzito lazima azithibitishe. Nitashangaa sana kama serikali italifumbia macho suala hili
Hatuwezi kumsahau mtu aliyetukatili. Wewe malaika uliyeumbwa na magufuli una haki ya kutuita sisi ambao hatukuumbwa na magufuli kenge.Hawatamsahau magu hao kenge!!
Mwandishi ameandika Ben Saanane alitekwa. Yule kichaa alikuwa na uwezo wa kumpiga makofi hata mama yake mzaziWaongee yaliyo ya kweli siyo uzushi. Magufuli amwite ikulu halafu ampige Risasi unaamini hilo?
Kabendera SIO MTANZANIA na hana huruma na hii nchii.View attachment 3190716
Kabendera ameshasepa, asingeachia hiko kitabu kama anaishi Tanzania.
Ni mkazi wa UK kwa sasa.
Wewe huna unachojua .Kuna jamaa zangu wanafanya kazi chombo nyeti cha usalama nchini nao waliniambia suala alilosema Kabendera kwenye kitabu chake. Tena mimi niliambiwa since 2020 Magufuli akiwa hai.
So aliyosema Kabendera sio chuki ndo ukweli wenyewe
Hakujawahi kuwa na jambo kama hilo.Mkuu sijaelewa embu iweke vizuri hii;
Sasa alimzukia na panjama wakati huo huo Kuna mabodigadi wanamsindikiza au jamaa alikuwa peke yake? Na huyo aliyekuwa anataka kubakwa alikuwa hana walinzi muda huo? Na alivyomkosa ikawaje?
Yaani pisi zote zile atake kumbaka kizimkazi kweli?
Angela kairuki hakuwahi kuwa na Magufuli kwa ajili ya habari hiyo.Siwezi kushangaa Magu kutaka kumbaka makamu. Maana tayari alikuwa anatembea na mawaziri kadhaaa na wengine kawazalisha kama Angela Kairuki
Eeh, hii sawa..Mshitakini aende mahakamani tupate ushahidi wa kimahakama.
Hee heeπ€π€π€π€, hii mbona kali na mpya zaidi..!!Kabendera kasema Magufuli alimzukia Samia na pajama akitaka kumbaka, mpaka Samia akataka kujiuzulu u Makamu wa Rais.
Eeh, hii pia ni sawaππ»ππ»ππ»Wamshitaki Kabendera mahakamani amuite Samia kutoa ushahidi.
Hivi katika karne hii ya maendeleo ya teknolojia ya habari, utaweza vipi kukifungia kitabu wakati wewe mwenyewe umeshakisoma na tayari unakisambaza hapa...Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi ya kichwa Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.
Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli.
Soma Pia: Erick Kabendera kupitia Kitabu chake; Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji
Nashauri mambo mawili ya kufanya
1. Kitabu alichozindua leo kizuiwe kusambazwa na kipigwe marufuku ndani na nje ya nchi.
2. Huyu mwandishi aitwe na kuhojiwa na vyombo vya usalama kuhusu Nia yake ya kuchapisha Tuhuma nzito hizi bila ushahidi otherwise Atoe ushahidi kuwa Magufuli alimpiga Risasi Ben Saa nane.
View attachment 3190238View attachment 3190239
Chawa la hukooo kizimkaziHuyu jamaa achunguzwe hata uraia wake hawa Kina Kabendera wengi wanatokea nchi jirani sitaitaja ila najua mmeshanielewa.
Sina uhakika kama na libeneke angelikataaKama upo na hela kwa simu,Wapigie wazazi wako walipatia sana kukupeleka shule..
Good lady .