Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Utakifungiaje hicho kitabu? Sir John Roberts? Ujuaji mwingi ni kujitia aibu tu. Ni sawa na serikali kupitia BASATA ilipoupiga marufuku wimbo wa Nay wa Mitego wakati tayari mitandaoni umeshapandishwa. Punguza Ujuaji na mihemuko isiyo kuwa ya lazima
Kwahiyo watu wasome na kuamini kuwa Magufuli alimpiga ben Saa nane Risasi ya kichwa ikulu?
 
Asante kwa kupromote kitabu cha Kabendera
 
Endapo kama haya ni ya kweli, hakika jamaa alikuwa ni mtu katili kupindukia, maana watu wenye viherehere kama Ben saa nane ilikuwa ni kuwachapa tu bakora 50-100 ananyooka tu mwenyewe, sasa kwa kufanya ya aina hiyo, na mwandishi kama kabendera kwa vyovyote atakuwa amechimba sana habari hii kwa kina hata uandishi wake ni wa kimtego mtego,, let her evils be known but if it was true!
 
Kaandika upuuzi sana. Hivi kweli rais amuite mtu ikulu halafu ampigie Risasi na kumuua hata kama alikua anataka kumuua Rais ana vyombo vingi hizi Tuhuma ni nzito lazima azithibitishe. Nitashangaa sana kama serikali italifumbia macho suala hili

..kwenye nchi ambayo Raisi ni mungu-mtu hilo jambo linawezekana.

..kukanusha alichosema Kabendera serikali inatakiwa imkamate aliyemuua Ben Saanane.

..serikali kutokufanya uchunguzi na kukamata waliohusika kunayapa nguvu madai ya Kabendera.
 
The author of the book was imprisoned for exposing the rotten truth? Could this be the reaction from the X commander in chief?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…