Kitabu cha Henoko (biblia hakipo) cha kiswahili nauza 5000 Tsh

Very deep
 
Kinasaidia nini?
Kitabu cha Henoko (biblia hakipo) cha kiswahili nauza 5000 Tsh. Tuma pesa M-PESA kwenda namba 0756704145 nicheki WhatsApp nikutumie kitabu au kama una email natuma
 
, Baba yake Ibrahim akaenda kumshitaki Kwa Nimrodi, Nimrodi akapitisha Hukumu atupwe kwenye Shimo la Moto ili afe......! Nchi Ile ikawa na Uasi mwingi na walikua na hasira na Mungu wa Israel,
Hakukua na Israeli yet though. MAana series ni Ibrahim->Isack->Yakobo(Israel)
 
Kweli zimekaa ki stori stori sanaa
 
Hata kama Kuna maajabu kwenye vitabu vya kiroho hii ni uongo mtupu na ni hadithi za kutungwa kwa baadhi ya mambo. Nuhu alishaondoka Duniani zaidi ya miaka 300 huko kabla hata Abraham hajazaliwa, aliwezaje kumlea?!
Plus kama alimlea maana yake na yeye gharika si ingemuhusu? Maana maandiko yanasema ile gharika iliuoiga ulimwengu wakaishia kupona watu 8 tu. Au maana yake ni nini
 
Soma post ya 104 acha uvivu. Utaweza kweli kukisoma kina page 62 .kwa huo uvivu
page 62 ndo zakushindwa kusoma kweli? Alafu bahati nzuri huwa sisomi ili nimalize pages,huwa nasoma kwa kujifunza mkuu. Punguza presha dogo.
 
page 62 ndo zakushindwa kusoma kweli? Alafu bahati nzuri huwa sisomi ili nimalize pages,huwa nasoma kwa kujifunza mkuu. Punguza presha dogo.
Well, msingi wa reply yangu ni kwamba kama uliona uvivu kusoma replies 😊🤣ukaipita post ya 104 yenye majibu. Kweli utaweza kukisoma hicho kitabu.
Presha ipo level Mtoto, Easy.
 
Well, msingi wa reply yangu ni kwamba kama uliona uvivu kusoma replies ukaipita post ya 104 yenye majibu. Kweli utaweza kukisoma hicho kitabu.
Presha ipo level Mtoto, Easy.
sawa mkuu, naomba tuwe marafiki follow my account.
 
Hata kama Kuna maajabu kwenye vitabu vya kiroho hii ni uongo mtupu na ni hadithi za kutungwa kwa baadhi ya mambo. Nuhu alishaondoka Duniani zaidi ya miaka 300 huko kabla hata Abraham hajazaliwa, aliwezaje kumlea?!
Wewe taarifa za Nuhu kuondoka duniani miaka 300 kabla ya Abraham umezipata kwenye chanzo gani?
 
Wenzio tunagawa bure wewe unauza. Kuna uzi humu jf search umeandikwa "natafuta kitabu cha enoki cha kiswahili" kuna mdau kakiweka kwa mtindo wa pdf. Mleta mada kazi ya Mungu haiuzwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…