Hakijakamalika ni maelezo ya blog na YEYE anataka helaWenzio tunagawa bure wewe unauza. Kuna uzi humu jf search umeandikwa "natafuta kitabu cha enoki cha kiswahili" kuna mdau kakiweka kwa mtindo wa pdf. Mleta mada kazi ya Mungu haiuzwi.

Juju juju jujuuuuKitabu cha Henoko (biblia hakipo) cha kiswahili nauza 5000 Tsh. Tuma pesa M-PESA kwenda namba 0756704145 nicheki WhatsApp nikutumie kitabu au kama una email natuma
NjooMwaka 2020 niliutumia mda mwingi kukaa mbele za MUNGU niliona mengi sana
MUNGU ni mwema sana
Kanisa jeusi liliamua kuuficha Mwanga ili mwanadamu awe mtumwa wa giza. Baba akaamua kukaa mbali na wanadamu nakubaki mtazamaji na si mwokozi tena. Siri zimeanza kuamka tena Nuru inarudi Duniani nje ya mifumo ya Dunia Wana Wana Nuru wataamka Kupambana na giza linalotawala Dunia. Mafundisho ya Waessene yanafunuliwa, Siri zilizofichwa kwenye jangwacla Galilaya zinaanza kurudi kwa walio tayari, jina la Baba litatamkwa tena. Jina lenye nguvu ya kuharibu giza likitamkwa kwa unyenyekevu