Kitabu cha kabendera ni hadithi za kufikirika na sio Facts, Serikali ipeleke Shitaka Mahakamani

Hii part ilinishangaza sana. Evidence ya Ben saa nane kuuliwa informants from gvt officers ambao walimpigia simu tu!

Hii hata yeye mwenyewe hawezi kuthibitisha ukweli wa hii info …. It Remains rumors. Mwandishi wa kitabu ndio mwandishi wa story ya Yoga…… dark days
Makamu alinyatiwa na jiwe ili alipwe kipapa. Chukuwa hiyo mkuu.
 
What if akawa na kila ushahidi na ukawekwa hadharani?

Sio kila jambo unalikimbilia tu. Utajiaibisha mwenyewe.
 
Umethibitisha vipi kama aliua mtu Ikulu?
Likija shirika huru la uchunguzi utapata ukweli wote na zaidi. Kwa sasa huwezi kuona ushihidi huo, maana kuna mfumo unaolinda huo uovu.
 
Hatimaye nimemaliza kusoma kitabu cha Erick!

As a scientist, kuna CLAIM na TRUTH. Ili claim iwe truth, ni lazima iwe evidence based, that can be checked and verified by anyone beyond the resoanable doubt.

KITABU cha Erick kimeainisha CLAIMS ambazo hazina data and no one can verify zaidi ya sisi kutulazimu kuamini maandiko yake kama tulivyoamini DINI.

Kwenye kitabu chake ameeleza kuwa taarifa alizotoa ni za hakika na hawezi kuwataja watu majina waliompa Taarifa kwa sababu za kiusalama. Kwenye ulimwengu wa SCIENCE, hii ni misleading information and cannot be taken as a proper reference , and in data SCIENCE hii ni VOID INFORMATION as well as MANIPULATION.

Maelezo ya KABENDERA yapo BIAS kwenye ulimwengu wa data.

Mosi, kuna conflict of interest kwa kuwa jamaa alikamatwa sana na JPM hivyo kuna uwezekano ameandika kitabu akiwa more subjectively na ni sehemu ya machungu hivyo ku compromise data integrity

pili, source ya data zake cannot be checked by anyone....except himself ! what if source zili mmisguide for personal interest....If data cannot be checked by anyone.... that is personal opinion.... true or false ?

In the name of president, ameeleza Samia alitaka kubakwa na JPM, nilitegemea kuona kuna taarifa za kuhojiwa kwa Samia juu ya hili tukio, kitabu kieleze kuwa Samia alihojiwa na akatoa ithibati, which is contrary. Ikulu Ilikanusha taarifa za Samia kutaka kujiuzulu. Kitabu cha Erick kinasema Samia alitaka kujiuzulu kwa kuwa alitaka kubakwa. Je ipi ni evidence based ? What are the reliable sources za kabendera ambazo we can go and Check ?

Kwamba, Ben alipigwa RISASI na JPM ndani ya Ikulu. It is obvious hii ni third party information, je ali crosss check vipi the reality ya taarifa from the third party informants ? What if the information provided intended to MISLEAD? Yote hayo yanatuweka Skeptical kwenye authentification ya hiyo Fictional book.

Aidha, hili sio Shambulio la Dr JPM, bali ni shambulio la Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kama mtu mmoja anaweza kutaka kubakwa ndani ya Ikulu sehemu ambayo tunaamini ni salama than any other place... that means the country is no longer safe, CCM is no longer safe, Samia anapoteza sifa za kuwa Rais wa URT unless the whole SAGA iende litigation Samia aje ku confess mbele ya mahakama na Kabendera alete evidence based mbele ya mahakama otherwisee hiyo nchi iwe chini ya JESHI maana kwa muktadha wa kitabu, IKULU is bleeding and dirty place.

Kama Rai anaweza kupigwa RISASI ndani ya Ikulu na mtu tuliempa dhamana ya kutuongoza....hii ni tafsiri kuwa ikulu ipo chini ya MAJAMBAZI na watu salama kwa sasa ni JESHI Tu.

Tofauti na hapo tupo chini ya wahuni. Unless Gerson MSIGWa utoe ufafanuzi wa hiki kitabu cha taarifa za kufikirika ikiwa ni pamoja na KUFUNGUA MASHTAKA dhidi ya Erick na kitabu chake, awe summoned na kutoa Evidence based. Njia pekee ya Erick ya ku disclose evidence zake ni kufunguliwa mashtaka, mashtaka yanafunguliwa na Serikali ya URT kwa maana claim zimeelekezwa kwa aliyekuwa Rais, Makamu wa Rais na Serikali kwa Ujumla yaani Ikulu.
kama Serikali itaendelea kukaa kimya, that means hiki ni kitabu cha mkakati ndani ya CCM and all moves are calculated

Dr Megalodon
Ottawa, Canada
Rue 52, WHO Regional Office
Nani kakuambia data na evidence huwekwa kwenye kitabu...?

Mfano kwenye Biblia tunasoma simulizi ya matukio mengi sana, kwa mfano;

1. Mussa alitupa fimbo chini mbele ya Farao na waganga na wachawi wake na fimbo hiyo kugeuka nyoka. Unaiona fimbo na nyoka huyo amebandikwa kwenye maandishi hayo...?

2. Daudi alilipiga jitu kubwa liitwalo Goliath (Mfilisti) na kuliua papo hapo kwa jiwe la kombeo. Je, kwenye maandishi hayo unaona picha ya Daudi na Goliath kwani kama ushahidi...?

3. Yesu Kristo alimfufua Lazaro aliyekufa na kukaa kaburini siku 4 akawa ananuka. Unamwona Lazaro au kaburi lake limebandikwa kwenye maandishi hayo kama ushahidi..?

##Katika haya yote ni wewe kuamini au ukae hivyo na kutoamini kwako. Kwa kuwa huamini, unaweza pia kumdai ushahidi wa matukio yote haya Mungu wa mbinguni kama Tomaso aliyesema "mimi siamini kama Yesu amefufuka unless nimeona alama za misumari mwilini mwake...!!"

##Ninachotaka kukuambia ni kuwa, kusoma simulizi ya matukio kwenye maandishi ni kitu kimoja. Na ushahidi wa tukio unalolisoma hauwezi kuwekwa kwenye kitabu zaidi ya kujua wahusika wa matukio hayo nani alifanya nini...

Mfano, watu waliona tukio fulani unataka watajwe na wapigwe picha na zibandikwe kwenye kitabu? Ili wahusika wawajue na kuwatafuta wawadhuru kwa kuwa siri zao zimejulikana kupitia wao..?

##Sikiliza bwana. Erick Kabendera kaandika kitabu (Non Fiction Literature) based on true events through his private investigation. Kitu kizuri ni kwamba kuna watu wametajwa humo kwa vyeo na majina yao...

##Kama wanataka kupewa ushahidi na mwandishi (mchunguzi & mwandishi) there are two ways to get it:

1. Wameshamsikia mpiga filimbi (whistleblower). Mamlaka huru za uchunguzi (sio za serikali maana ndizo zinatuhumiwa) ziingie kazini zijichunguze ili kuuthibitisha ukweli wa haya mambo. Wakikuta ndivyo sivyo, wachukue hatua... AU;

2. Ushauri wako ufanyiwe kazi. Anayedhani ameumizwa au amethumiwa kimakosa, aende mahakamani aombe ushahidi toka kwa mwandishi na akishindwa kuthibitisha, awasafishe aliowanenea uongo na ikibidi alipe fidia ya "uharibifu wa sifa za watu..!

Na ushahidi ukithitisha kweli walihusika, wawe tayari nao kunyongwa mpaka kufa kwa sababu wao nao waliua. Bahati njema ni kuwa, mtuhumiwa mkuu John P. Magufuli yeye anatumikia adhabu ya karma (kifo) kaburini kwa sasa..!!
 
Hatimaye nimemaliza kusoma kitabu cha Erick!

As a scientist, kuna CLAIM na TRUTH. Ili claim iwe truth, ni lazima iwe evidence based, that can be checked and verified by anyone beyond the resoanable doubt.

KITABU cha Erick kimeainisha CLAIMS ambazo hazina data and no one can verify zaidi ya sisi kutulazimu kuamini maandiko yake kama tulivyoamini DINI.

Kwenye kitabu chake ameeleza kuwa taarifa alizotoa ni za hakika na hawezi kuwataja watu majina waliompa Taarifa kwa sababu za kiusalama. Kwenye ulimwengu wa SCIENCE, hii ni misleading information and cannot be taken as a proper reference , and in data SCIENCE hii ni VOID INFORMATION as well as MANIPULATION.

Maelezo ya KABENDERA yapo BIAS kwenye ulimwengu wa data.

Mosi, kuna conflict of interest kwa kuwa jamaa alikamatwa sana na JPM hivyo kuna uwezekano ameandika kitabu akiwa more subjectively na ni sehemu ya machungu hivyo ku compromise data integrity

pili, source ya data zake cannot be checked by anyone....except himself ! what if source zili mmisguide for personal interest....If data cannot be checked by anyone.... that is personal opinion.... true or false ?

In the name of president, ameeleza Samia alitaka kubakwa na JPM, nilitegemea kuona kuna taarifa za kuhojiwa kwa Samia juu ya hili tukio, kitabu kieleze kuwa Samia alihojiwa na akatoa ithibati, which is contrary. Ikulu Ilikanusha taarifa za Samia kutaka kujiuzulu. Kitabu cha Erick kinasema Samia alitaka kujiuzulu kwa kuwa alitaka kubakwa. Je ipi ni evidence based ? What are the reliable sources za kabendera ambazo we can go and Check ?

Kwamba, Ben alipigwa RISASI na JPM ndani ya Ikulu. It is obvious hii ni third party information, je ali crosss check vipi the reality ya taarifa from the third party informants ? What if the information provided intended to MISLEAD? Yote hayo yanatuweka Skeptical kwenye authentification ya hiyo Fictional book.

Aidha, hili sio Shambulio la Dr JPM, bali ni shambulio la Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kama mtu mmoja anaweza kutaka kubakwa ndani ya Ikulu sehemu ambayo tunaamini ni salama than any other place... that means the country is no longer safe, CCM is no longer safe, Samia anapoteza sifa za kuwa Rais wa URT unless the whole SAGA iende litigation Samia aje ku confess mbele ya mahakama na Kabendera alete evidence based mbele ya mahakama otherwisee hiyo nchi iwe chini ya JESHI maana kwa muktadha wa kitabu, IKULU is bleeding and dirty place.

Kama Rai anaweza kupigwa RISASI ndani ya Ikulu na mtu tuliempa dhamana ya kutuongoza....hii ni tafsiri kuwa ikulu ipo chini ya MAJAMBAZI na watu salama kwa sasa ni JESHI Tu.

Tofauti na hapo tupo chini ya wahuni. Unless Gerson MSIGWa utoe ufafanuzi wa hiki kitabu cha taarifa za kufikirika ikiwa ni pamoja na KUFUNGUA MASHTAKA dhidi ya Erick na kitabu chake, awe summoned na kutoa Evidence based. Njia pekee ya Erick ya ku disclose evidence zake ni kufunguliwa mashtaka, mashtaka yanafunguliwa na Serikali ya URT kwa maana claim zimeelekezwa kwa aliyekuwa Rais, Makamu wa Rais na Serikali kwa Ujumla yaani Ikulu.
kama Serikali itaendelea kukaa kimya, that means hiki ni kitabu cha mkakati ndani ya CCM and all moves are calculated

Dr Megalodon
Ottawa, Canada
Rue 52, WHO Regional Office
Naamini kitabu hiki kwa 90% Magufuli alifanya ushenzi mwingi sana nchi hii na wananchi wana endelea kulipa. Mfano ni wastaafu kutolipwa hela zao zote kwa mkupuo kama awali kwani Magufuli aliingilia mfuko wa pensheni na kuchota matrilioni kujenga madaraja na sasa wazee wastaafu ndio wanateseka. Hayo yatasemwa baadaye ngoja sasa tusikilize haya ya pyjama ikulu.
 
Back
Top Bottom