Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Wabongo kuweni na huruma basi 🤣🤣🤣🤣🤣🍺🍺🍺🍺🍺Wewe jamaa una tamaa sana. Kule ulikuwa ukauza kitabu cha Henoko wakati kitabu chenyewe kimeandikwa "Hakiuzwi". Na hapa unataka kupiga watu 10K wakati si ajabu tafsiri yenyewe ni ya Google Translator. Isitoshe, vitabu hivi mtu akigugu (in Makalla's voice) tu anavipata bure mtandaoni na huko kwenye magroup ya Telgram.
Fanya 5K angalau; maana najua wala hujatafsiri wewe. Ukibisha nakiweka hapa kama kilivyo. Ubaya Ubwela!