Kitabu Cha Maisha ya Jakaya Mrisho Kikwete

Wewe mzee unapenda sana udini
Yoda,
Unadhani kuandika historia ya Waislam ni udini?

Vipi kufuta historia ya Abdulwahid Sykes katika kupigania uhuru wa Tanganyika?
 
Yoda,
Unadhani kuandika historia ya Waislam ni udini?

Vipi kufuta historia ya Abdulwahid Sykes katika kupigania uhuru wa Tanganyika?
Kaka Mohamed kwanza shikamoo maana Huku kwetu Itabagumba (buchosa)bila salamu hiyo heshima haionekani,nikushukuru Kwa kuniwekea tanzia ya nguli huyu maana niliikosa na ninavyojua uhusiano wako na almaruhuum Nika Jua utakuwa umeshusha stori siyo ya kitoto kumuhusu asante sana kaka MUNGU akupe maisha marefu na siha njema mwalimu wangu walugha na uandishi Kwa ujumla.
 
Mbuli,
Marhaba.
Ahsante sana.
 
Huwa hawaandiki vitabu Kwa bahati mbaya!

Ni rasmi sasa operation PJLK loading!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…