Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Pamoja MkuuFaana,
Ahsante kwa kunielimisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja MkuuFaana,
Ahsante kwa kunielimisha.
Yoda,Wewe mzee unapenda sana udini
Kaka Mohamed kwanza shikamoo maana Huku kwetu Itabagumba (buchosa)bila salamu hiyo heshima haionekani,nikushukuru Kwa kuniwekea tanzia ya nguli huyu maana niliikosa na ninavyojua uhusiano wako na almaruhuum Nika Jua utakuwa umeshusha stori siyo ya kitoto kumuhusu asante sana kaka MUNGU akupe maisha marefu na siha njema mwalimu wangu walugha na uandishi Kwa ujumla.Yoda,
Unadhani kuandika historia ya Waislam ni udini?
Vipi kufuta historia ya Abdulwahid Sykes katika kupigania uhuru wa Tanganyika?
Mbuli,Kaka Mohamed kwanza shikamoo maana Huku kwetu Itabagumba (buchosa)bila salamu hiyo heshima haionekani,nikushukuru Kwa kuniwekea tanzia ya nguli huyu maana niliikosa na ninavyojua uhusiano wako na almaruhuum Nika Jua utakuwa umeshusha stori siyo ya kitoto kumuhusu asante sana kaka MUNGU akupe maisha marefu na siha njema mwalimu wangu walugha na uandishi Kwa ujumla.
sana.Mbuli,
Marhaba.
Ahsante sana.
Dah,ndiyo nafahamu kama nguli huyu ametutoka! Alikuwa anaumwa??kaka Mohamed Said sijaona tanzia ya nguli Mohamed Rajabu,naisubiri.
Samahani, mzee wangu, alikuwa anaumwa huyu marehemu nguli wetu wa habari??Mbuli...