Kitabu cha Munga Tehanani - Uchawi

Kitabu cha Munga Tehanani - Uchawi

Nimeuliza hivi.

Toa definition ya uchawi.

Mpaka sasa hujatoa.

Pia nikauliza hivi.

Hicho unachofikiri ni uchawi unahakikishaje kuwa ni uchawi kweli na si kitu kingine tofauti na uchawi ambacho hujakielewa vizuri tu?

Hujajibu.

Uchawi ni nini?

Hicho unachokiita uchawi unahakikishaje ni uchawi kweli na si kitu tofauti tu ambacho labda hujakielewa vizuri tu?
Hilo swali ulilong'ang'ania la kuuliza uchawi ni nini? Mwenyewe uliniambia kwamba hausemi kuwa haijulikani uchawi ni nini bali unataka tu definition ya uchawi kutoka kwetu sisi. Kuna definition nyingi tu za neno uchawi na nilishakwambia hata sisi tunaoamini uchawi tunatofautiana kwenye definition ya uchawi, sasa kama lengo lako ni kujadili definition za neno uchawi bora useme ili tuingie huko tujadili maana ya uchawi.

1)Ni kweli kuna baadhi ya vitu naweza kudhania au kusema kitu fulani ni uchawi kwa mtazamo wangu tu binafsi lakini kumbe ikawa si uchawi kikawa kitu chengine, ni sawa na kudhania mtu ana malaria kumbe ana homa tu, kwahiyo vipimo ndio vitafanya tupate kujua ukweli kama ni kweli malaria au kitu kingine na kwenye uchawi ni hivyo hivyo kuna njia ama ujuzi wa kuweza kufahamu jambo au tatizo fulani ni uchawi ama kitu kingine.

2) Kwanini nifikirie tu hicho kinachoitwa kuwa ni uchawi kwamba kinaweza kuwa si uchawi bali ni kitu chengine hali ya kuwa sijui hicho kitu chengine ni kitu gani wala sikielewi? Ni wazi mpaka niwe na sababu za kufanya nifikiri hivyo, wewe unayepinga uwepo wa uchawi unayo sababu ya kufikiri hivyo kwa mambo ambayo yenye kuhusishwa na uchawi na ambayo huyaelewi kwa sababu hauamini uchawi.
 
Kiranga ndio tafsiri sahihi ya morden students.
Mpaka apate definition, Sources, chuo gani accredited kimesema na profesa gani.
Kuna vitu vingi vina julikana na havina définition au ipo kwa jinsi mtu anavyoona.
Uchawi unajulikana na kila mtu ana définition yake.
 
Hilo swali ulilong'ang'ania la kuuliza uchawi ni nini? Mwenyewe uliniambia kwamba hausemi kuwa haijulikani uchawi ni nini bali unataka tu definition ya uchawi kutoka kwetu sisi. Kuna definition nyingi tu za neno uchawi na nilishakwambia hata sisi tunaoamini uchawi tunatofautiana kwenye definition ya uchawi, sasa kama lengo lako ni kujadili definition za neno uchawi bora useme ili tuingie huko tujadili maana ya uchawi.

1)Ni kweli kuna baadhi ya vitu naweza kudhania au kusema kitu fulani ni uchawi kwa mtazamo wangu tu binafsi lakini kumbe ikawa si uchawi kikawa kitu chengine, ni sawa na kudhania mtu ana malaria kumbe ana homa tu, kwahiyo vipimo ndio vitafanya tupate kujua ukweli kama ni kweli malaria au kitu kingine na kwenye uchawi ni hivyo hivyo kuna njia ama ujuzi wa kuweza kufahamu jambo au tatizo fulani ni uchawi ama kitu kingine.

2) Kwanini nifikirie tu hicho kinachoitwa kuwa ni uchawi kwamba kinaweza kuwa si uchawi bali ni kitu chengine hali ya kuwa sijui hicho kitu chengine ni kitu gani wala sikielewi? Ni wazi mpaka niwe na sababu za kufanya nifikiri hivyo, wewe unayepinga uwepo wa uchawi unayo sababu ya kufikiri hivyo kwa mambo ambayo yenye kuhusu na uchawi na ambayo huyaelewi kwa sababu hauamini uchawi.
Kama hujui uchawi ni nini utajuaje huu ni uchawi na huu si uchawi? Unaweza kuona mtu mmoja kamuua mwingine bila kumgusa ukasema ni uchawi, kumbe yule mtu katumia kanuni za kemia tu kupuliza sumu ya kumuua mwingine bila kumgusa.

Ndiyo maana nakuuliza, uchawi ni nini?

Bila kujibu swali hili bado utakuwa unacheza tu.
 
Kila navyojaribu kuelezea ni kama unapotezea na kuendelea kurudi kuuliza yaleyale, unalazimisha ujibiwe kwa sababu tu umeuliza na unataka ujibiwe kwa namna utakavyo wewe.

Haya nakuewekea hapa moja ya definition ya uchawi kutoka kwenye kamusi.

"Uchawi=Ufundi wa kutumia dawa mfano mitishamba au vitabu maalumu vya uganga ili kuleta madhara kwa viumbe."

Haya unaweza na wewe ukaniambie unafahamu nini kuhusu kinachoitwa uchawi na kwanini unapinga hakuna huo uchawi?

Huo mfano wako una mapungufu kwa sababu kumuuwa mtu bila kumgusa wala si kitu cha ajabu unaweza ukamuuwa mtu kwa bunduki ukiwa mbali nae kabisa pasina kumgusa.
 
Kama hujui uchawi ni nini utajuaje huu ni uchawi na huu si uchawi? Unaweza kuona mtu mmoja kamuua mwingine bila kumgusa ukasema ni uchawi, kumbe yule mtu katumia kanuni za kemia tu kupuliza sumu ya kumuua mwingine bila kumgusa.

Ndiyo maana nakuuliza, uchawi ni nini?

Bila kujibu swali hili bado utakuwa unacheza tu.
Kiranga eeh, kaa utulie Rafiki Yangu, Mimi nitakufundisha. Sawa🙄 itikia Sasa, acha ujeuri.
1. UCHAWI NI NGUVU
2. KUNA UCHAWI MWEUPE & MWEUSI
3. . . . . . . . . .. .. . . .. Nitaendelea
 
Nilitembelea google nikakuta Kuna mwanablog kwa JINA Japhet Masatu wa W'app namba 0716924136. Nimeona kama amesemea KITU kwenye hicho kitabu
 
Back
Top Bottom