Kitabu cha Munga Tehanani - Uchawi

Kitabu cha Munga Tehanani - Uchawi

This is whataboutism, also logical non sequitur fallacy, also strawman argument fallacy.

Mimi siongelei mangapi, naongelea hili.
Mmmmh kiranga wewe Kiranga. . .ipo siku hicho Kiranga chako kitakunyoosha Haki ya Mungu.😅
 
Sasa mbona wewe ndiye unawachosha watu kwa kuendeleza ubishi na mtu anayewachosha watu?

You can't censor me.

Hujui hata ku define uchawi ni nini. Unabumbabumba tu.
Basi kama unajua tafsiri ya Uchawi si jukwaa lipo wazi Sasa tutabanaishe?
Maneno mengi yanini yatufarakanishe Wana JF wakati Mwalimu Mzuri kama ww upo?
 
Hapa naona mmoja hana elim kabisa zaidi ya ujuaji..... mwingine kasoma vitu kwenye makaratasi!!
Tafsiri fupi asiye na elim anamuuliza asiye na elim.
Elim ya kiroho hakika yake huwa inafundishwa direct kupitia mdomo na macho kutoka kwa mfanyaji kwenda kwa mpokeaji.
Hicho kitabu sijakisoma lakini nahakika zaidi ya 55%, kinastory tu kuhusu elim za kiroho na sio elim harisi ya kiroho

ila lazima kitakuwa n kizuri
 
Nakubaliana na Wewe Mkuu kwamba Elimu Nzuri ya Kiroho ni ile ya ana Kwa ana.
Lakini Sasa, Jamii inatafuta Elimu, Wenye Elimu wameshindwa kuifikisha Elimu Kwa walengwa.
Kwa Sura hii Jamii inatapatapa.
Hata vipande vya makala za ajabuajabu huokotwa ili kukata kiu ya uhitaji.

Ni vile Huwezi kuamini, ila Niamini Mimi, Jamii inatamani Sana kujua Mambo ya Kiroho kuliko Njia za kupata Pesa.
 
Naelewa unachokizungumza, maana mm nipo advanced kidogo kwenye maswala ya kiroho
(Nani Dunian ambaye hataki kuongea na ulimwengu wa kiroho?
Hayupo,,,, maana huko ndo kuna kila kitu

Mungu, Ibiris, Malaika, Majinn, utajiri, umasikini, bahati, mikosi n.k
Vyote vipo huko
Ukitaka Dunia ikuinamie wewe pita huko utaona balaa lake
 
Habari za Uzima WanaJamiiForums.

Kuna kitabu Nimekipoteza ktk mazingira Nisiyoelewa, kinaitwa UCHAWI UNAVYOKUPATA NA KUJIKINGA Cha mwandishi MUNGA TEHENANI wa FAMILIA YA JITAMBUE.

Huyu Bw. Alikuwa anatoa Elimu yenye Ufahamu na Maarifa ya viwango vya Juu Mno ambayo sijaona mwingine Kwa hapa TZ ana Maarifa kama Yeye.

( RIP. MUNGA TEHENANI )
Katika Kitabu hicho alizungumzia Uchawi wa kuruka kwa Ungo.

Anasema, Sio lazima iwe Ungo, Lakini Kuna uwezekano wa watu kuruka kwa kutumia vifaa ambavyo havitumiwi kurukia.

Kama Yupo Mtu ataruka Kwa kutumia Ungo, sio lazima Mtu Huyo awe mchawi.

Kuruka ama kusafiri Kwa Ungo ni suala la uwezo wa kujua Namna ya Kanuni Husika inavyotumika.

Uchawi ni Matumizi Mabaya ya Nguvu hizihizi tunazo zitumia kupata Mambo Mazuri.

Hayo ni sehemu tu ya Yaliyomo Ndani ya kitabu hicho.

TAFADHARI, ikiwa unajua mahali naweza kupata kitabu hiki Nakuomba unijulishe.

Na kama unacho kitabu kama hiki naomba kopi Tafadhari.

Na ikiwa una NONDO nyingine za MUNGA TEHENANI

Naomba tujulishane Jamani.

Ni hayo tu.

***UCHAWI NI NINI

JIBU LAKE NI HILI:

Kwa mujibu wa Mwandishi kitabu MUNGA TEHENAN ( RIP )

=> Uchawi ni Nguvu.
Kwa vyovyote ambavyo Mtu atatoa tafsiri, ataishia Kusema UCHAWI NI NGUVU.

=> Kila Nguvu Ina Kanuni zake. Bila Kanuni, Kitu chochote kitasita kuendelea
Hata Kula Kuna Kanuni. Kwamfano, Unaweza vipi kuchukua Chakula na Kukishindilia kwenye Njia ya Haja Kubwa 😆 Kisha ukatoa tafsiri kwamba Umekula Chakula?
Hata ukiamini kwamba Umekula, Kama ndivyo Ulivyo fundishwa, kwamba Huko ndiko Kula, Bado Kula huko hakutazaa matunda kwasababu KANUNI ya Ulaji haikuzingatiwa.

=> UMEME PIA NI NGUVU.
Ili Umeme Uzalishwe inapaswa kuwa na vifaa Fulani sambamba na KANUNI ya kuzalisha Umeme na kuendelea kuwaka.
Zipo Kanuni za kukufanya Umeme Usiwe na MADHARA Kwa watumiaji.
Hata kama wewe ni Fundi Mbobezi Kwa mambo ya Umeme, Bado Hauwezi kutumia KAMBA za katani kama Nyaya kuzalisha Umeme.
Kanuni lazima izingatiwe kupata Umeme

=> Sasa, kama unataka kuutumia Umeme Kwa Matumizi Mabaya ya kumdhuru mwingine, hiyo inawezekana.
...... Pengine utauingiza kwenye Maji. . . Lakini, Yeye aliyetegwa atadhurika ikiwa atagusa ama kuingia kwenye Hayo maji.
....... Pengine utauunganisha na chuma Cha Mlangoni ama getini, Hali kadhalika Yeye aliyetegwa atadhurika ikiwa atagusa huo mlango/geti.
Nje ya hapo hawezi kudhurika.
Kwahiyo Nguvu zote zinakanuni.

=> Kujua kwamba Kuna Uchawi ama kuto kujua,haitoshi kumfanya Mtu aweze Kuloga au kulogwa.

=> Kuamini ktk Uchawi ama kutokuamini, , , , Haitoshi kumfanya Mtu Kudhuriwa na wachawi ama kutokudhuliwa nao.
Attachments
17395100065847162554509929673813.jpg
meditation inayo majibu ya kushangaza mno sjawi ona kitu ya thaman kama hii
 
namimi nipo kwenye maandaalizi ya kuandika kitabu kuhusu nguvu ya fikra zetu. hakika fikra ndio uchawi wenyewe.
Nikipata nafasi Nitatoa Ushuhuda mmoja wa Nguvu ya Kiroho na kifikra niliyowahi kui apply Kwa watu wachache Nikiwa Mwanza.
Then, Nitaomba Mnikosoe, mnifundishe na Mnisaidie ikibidi ili kufanya Kwa ukamilifu.
 
meditation inayo majibu ya kushangaza mno sjawi ona kitu ya thaman kama hii
Mwaka 1 Nikiwa Dodoma, Nilijiunga na kundi Fulani la Mambo ya Meditation linaloitwa PATH SOCIETY.
Kwakweli Nilijilazimisha KueLewa hii Kitu Lakini nilishindwa. Kichwa kilikuwa kinaniuma sana, Ndoto Ngumu na zaajabu ambazo sikupata mtafsiri Kwa wakati ule. Viongozi wangu wa meditation walinipa Moyo tu kwamba Hali hizo zitapita.
Hatimaye Nilijiondoa kimyakimya.
 
Hii promo.
Kwanza umesema hujui wako wapi then una copy za wasap.
Hujui nani kakiiba.
Mara unajua Hadi wanafunzi wake.
Kisha unaifahamu pathy society Dodoma.
Unauza kopi sh ngapi?
 
Sasa kama huwezi hata ku u define uchawi, maana yake wewe mwenyewe huuelewi uchawi, utajuaje upo kweli na si hadithi za watu tu?
Mimi najua upo kutokana na kushuhudia hayo yenye kuitwa kuwa ni uchawi kwa maana hayo mambo yapo na nayashuhudia na huitwa kuwa ni uchawi, ndio maana nasema ufanyike uchunguzi kuchunguza hayo mambo.

Unachotaka kufanya ni kutaka kupinga uwepo wa uchawi kwa kupitia definition ya uchawi kitu ambacho hauwezi kuwa sahihi kwa sababu hata sisi tunaoamini uchawi tunatofautiana kwenye baadhi ya definitions ila wote tunakubali uwepo wa kinachoitwa uchawi, sasa wewe unataka kuhitimisha hakuna uchawi kwa kukosoa definitions za neno uchawi na kuacha kujadili mambo ambayo huitwa ni uchawi.
 
Nimeuliza hivi.

Toa definition ya uchawi.

Mpaka sasa hujatoa.

Pia nikauliza hivi.

Hicho unachofikiri ni uchawi unahakikishaje kuwa ni uchawi kweli na si kitu kingine tofauti na uchawi ambacho hujakielewa vizuri tu?

Hujajibu.

Uchawi ni nini?

Hicho unachokiita uchawi unahakikishaje ni uchawi kweli na si kitu tofauti tu ambacho labda hujakielewa vizuri tu?
 
Tusaidie wewe Kilanga, Maana Kwa Hakika sisi tulio wengi hatujui, Ndio Maana tunahangaika na vitabu na magazeti ya zamani kupata knowledge Hii.
Tufundishe Mkuu.
 
Back
Top Bottom