Daktari W Sindabhalla
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 600
- 580
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama vitu Gani mkuuKwa kweli.
mtakeshaDefine uchawi nini halafu nieleze ni vipi unaujua huu ni uchawi, si kitu kingine chochote unachokijua au usichokijua.
Huyu Mr Munga niliwahi kumtizama TVT enzi hizo kwa sasa ni TBC. Kwakweli niliona mara moja kipindi chake kilikuwa kinaitwa Jitambue, nakiri niligundua jamaa ana uelewa wa mambo..Mzee Munga ni moja ya watu wa kwanza kabisa kufundisha elimu hii ya kujitambua. Walikuwa na society inaitwa Life Wave na ilibadilika jina na kuwa The Path Society ambapo wapo Kigamboni kwa sasa.
Hiki kitabu ninachokiulizia hapa kinayo majibu.Si mtata hivyo mkuu, haya ni maswali ya msingi tu, maswali ya definition tu. Tujue mtu anaposema "uchawi" anamaanisha nini, kabla hatujaanza kubishana kama uchawi upo au haupo.
Nipo kwenye definition tu, hata sijaingia kwenye argument.
Sasa hapo kuna utata gani?
Hakika, Hata Mimi nilimuona kwenye TVT 2008.Huyu Mr Munga niliwahi kumtizama TVT enzi hizo kwa sasa ni TBC. Kwakweli niliona mara moja kipindi chake kilikuwa kinaitwa Jitambue, nakiri niligundua jamaa ana uelewa wa mambo..
Baadae nilikuja kusikia amefariki dunia RIP Mr Munga Tehani
Hivi kuna uchunguzi uliyowahi kufanyika ukaja na majibu kuelezea hicho kinachodhaniwa ni uchawi kwamba si uchawi ni kitu tu chengine na ni kitu gani hasa?Define uchawi nini halafu nieleze ni vipi unaujua huu ni uchawi, si kitu kingine chochote unachokijua au usichokijua.
Huajibi maswali.Tatizo la kiranga nimjuzi wa kutengeneza maswali ya Malumbano.
Kwamba wewe ukimjibu Kisha Yeye akanushe na jibu asitoe.
Fuatilia koments zake . . . Utaniamini Mimi.
Wewe huna majibu?Hiki kitabu ninachokiulizia hapa kinayo majibu.
Tutafute Kitabu kwanza
Watu wengi sana wanaumwa, wakienda kwa waganga wa kienyeji kuaguliwa wanaambiwa huo ni uchawi wamerogwa na ndugu zao. Wakati si kweli, ni ugonjwa wa kawaida tu.Hivi kuna uchunguzi uliyowahi kufanyika ukaja na majibu kuelezea hicho kinachodhaniwa ni uchawi kwamba si uchawi ni kitu tu chengine na ni kitu gani hasa?
Nitakujibu Kwa kadiri ya NOTES nilizochukua kutoka Kwa Mwandishi wa kitabu.Wewe huna majibu?
Kitabu kina majibu ukurasa wa ngapi?
Tukiangalia kwa kina upande mmoja upo sahihi kwa ulichoeleza ni kweli hilo hutokea, ila pia kwa upande mwengine hutokea pia watu wanaenda kwa waganga baada ya kushindikana kupata tiba hospitali na hupona kwa matibabu ya waganga na hayo maradhi uhusishwa na uchawi.Watu wengi sana wanaumwa, wakienda kwa waganga wa kienyeji kuaguliwa wanaambiwa huo ni uchawi wamerogwa na ndugu zao. Wakati si kweli, ni ugonjwa wa kawaida tu.
Sasa ukiumwa utajuaje huu ni ugonjwa wa kawaida tu na huu ni ugonjwa wa kurogwa uchawi?
Bado hujajibu maswali yangu.Tukiangalia kwa kina upande mmoja upo sahihi kwa ulichoeleza ni kweli hilo hutokea, ila pia kwa upande mwengine hutokea pia watu wanaenda kwa waganga baada ya kushindikana kupata tiba hospitali na hupona kwa matibabu ya waganga na hayo maradhi uhusishwa na uchawi.
Mbali na maradhi kuna matatizo mengine pia tunaona huwafanya watu kwenda kwa waganga kupata ufumbuzi.
Ndio maana mwanzo nilikuuliza swali kuwa je kuna uchunguzi uliyowahi kufanyika ukaja na majibu kwamba hicho kinachodhaniwa ni uchawi si uchawi bali ni kitu chengine na ni kitu gani hiko?Bado hujajibu maswali yangu.
Uchawi ni nini?
Utahakikishaje huu ni uchawi na hiki ni kitu kingine tu ambacho labda sijakielewa tu, lakini si uchawi?
Unafanya vipi uchunguzi kuhusu kitu ambacho hata hakijawa defined?Ndio maana mwanzo nilikuuliza swali kuwa je kuna uchunguzi uliyowahi kufanyika ukaja na majibu kwamba hicho kinachodhaniwa ni uchawi si uchawi bali ni kitu chengine na ni kitu gani hiko?
Naweza nisijue ni nini maana ya uchawi ila tunakutana na hayo yenye kuitwa kuwa ni uchawi, nimetoa mfano hapo watu kukosa tiba hospitali ila wakaambiwa na waganga kuwa kinachowasumbua ni uchawi na wakatibiwa kwa tiba za kiganga na wakapona, ndio maana nasema muhimu hapa kama ungefanyika uchunguzi ndio ungetoa majibu.
Kuwa tunaweza tukasema hicho kinachoitwa uchawi kuwa si uchawi ila linakuja swali je ni nini hicho?
Sasa mbona kuna watu wanapinga kuwa hakuna uchawi ikiwa haijulikani uchawi ni nini?Unafanya vipi uchunguzi kuhusu kitu ambacho hata hakijawa defined?
Uchawi ni nini?
Hilo ndilo swali la kwanza.