Kitabu cha mwanzo na sayansi kuhusu umbo la dunia

Wajenzi wa babel walitaka wasisambae duniani. Hilo ndo lilikuwa kosa si kujenga babel. Hata wangeachwa wajenge wasingefika mbinguni. Kosa lilikuwa kutokutaka kusambaa na kuijaza dunia, mpango wa MUNGU si watu wakae sehemu moja.
Kwanini aumbe watu ambao hawatafuata matakwa yake?
Na kipindi cha huo uumbaji hakujua kwamba hawa watu wataenda tofauti nayeye?

Mpaka aamue kuja kufanya marekebisho ina maana huyu mungu ana madhaifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo proof iko wapi mkuu
 
Hiyo proof iko wapi mkuu
wewe si ndo Babu zako wale kima wa Mr. Darwin?
Sasa unataka proof gani tena?
Ama mimi Ushahidi wangu ni kuwa Babu zangu wote nawajua kuwa walitokana na Ismail.
Ismail Alitokana na Ibrahim
Ibrahim Alitokana na Noa
Noa Alitokana Na Adam.
Adam Alifinyangwa na Mungu mwenyewe kwa Mkono wake.
Na Adam alipuliziwa roho baada ya Mwili wake kukamilika kufinyangwa kwa Udongo mchanganyiko Mweusi.

Chini ya hapo kulikuwa na Hao kima na wanyama wengine maporini pamoja na Majini.

Kima Ambao labd ni babu za baadhi ya watu wasemao Adam si mtu wa kwanza .
 
Kuna sehemu nimekwambia nakubariana na Darwin au wanilisha maneno? Ulishawahi kusoma ugunduzi wa Machu Picchu? Ushawahi kusoma kuhusu baadhi ya vichwa vya mumies wa egypt, ushawahi kusoma kuhusu story za Sumerian text ambayo ni among the earliest civilization
 
ukitumia neno universal maana yake hakuna mungu bali nature
Ulimwengu ulitokeaje?
Yoda Hilo swali ni gumu kwakuwa tayari upo self defence hata ukipewa jibu huwezi kuelewa kwakuwa umeshalishwa uchawi wa Quran na bible

Ili kuweza kuelewa Anza kuondoa chembe chembe zilizofunga akili yako anza kujua ukweli kuhusu Quran na bible je ni kweli mungu aliandika hivyo vitabu

Ukishapata ukweli kuhusu Hilo ndio akili yako itakuwa ipo huru kuelewa mengine lakini kwa sasa hivi nikikuambia lolote utapinga tu kwakuwa ushazibwa husikii wala huoni
 
Hizo habari za mtu wa kwanza ni Adam umezipata wapi embu tueleze ?
 
Hizo habari za mtu wa kwanza ni Adam umezipata wapi embu tueleze ?
Wewe unajuwa kuwa mimi nitatumia Qur-an au some times Bible.
Lakini nataka kujuwa wewe je unatumia reference gani kututhibitishia kuwa kulikiwa na Binadamu wenginekabla ya Adam babu yangu mimi?
Ili huye awe ndo babu yako wewe?
pasi na Huyu Adam tuliyemtambua kwa chronology za koo zetu

 
Homo sapiens
ndio unao wataka wewe sio

Sasa tuthibitishie kuwa huyu alikuwepo wapi na imeishia wapi race yake
Maana Qur-an inatuufunza kuwa Allah alimuumba binadamu katika umbile zuri
nhuyo anafananje na Sokwe mtu.
Ila kuna watu waliigeuzagwa Manyani kipindi fulani hapo mitaa ya kati kati kwa sababu ya uasi wao,
isije kuwa wewe ndio hao unaozungumzia?
 
Maji na Giza vilikuwepo katika uumbaji mwingime, kabla ya huu uumbaji tulioandikiwa kwenye biblia, viumbe Vingi vilikuwepo kabla ya huu uumbaji.

Mfano Malaika wote tayari walikuwepo, nk. Wote waliumbwa na Mungu ikiwemo Dunia na maji na Giza vyote viliumbwa katika uumbaji mwingine ambao haujazungumzwa

Hata shetani alikuwa ameshaumbwa, enzi hizo akiitwa Malaika Mkuu
Section 20
 
Kwa mujibu wa maelezo yako kuwa mtu wa kwanza Adam umezipata katika Quran au bible
 
We shusha mzigo waswasi wako nn
 
Basi angetumba mzezeta Basi,

Yeye anasema tuishike elimu, hiyo elimu utaishikaje bila kuliza maswali ili ujifunze??

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa si ukaulize darasani wakati unasoma?
kama kuna kitu kinakukwaza ,wakati uko na mwalimu muulize.Na kama mwalimu kakufungia mlango ruka dirishani katafute mwalimu mwingine.
Kama Ukiristo unakuzuia kuuliza maswalai ,jaribu kwenye Uislamu, sisi huku huwaga hatuachagi kutowa majibu hata yaweje na utata kiasi gani.
kuran inasema
''Waulize wenye kujua ikiwa kuna kitu hukijuwi''
lizaga tuu
 
Hiyo proof iko wapi mkuu
Proof ni uwepo wako wewe,si babu zako unawajuwa,

Tuna itwa Bin adamu - kwaiarabu, kwa kiswahili ni watoto wa Adamu.

Sasa nioneshe watoto wa mwengine asiyekuwa Adamu?
 
Proof ni uwepo wako wewe,si babu zako unawajuwa,

Tuna itwa Bin adamu - kwaiarabu, kwa kiswahili ni watoto wa Adamu.

Sasa nioneshe watoto wa mwengine asiyekuwa Adamu?
Hicho Kiswahili je kwa kingereza tunaitwaje, na je kwa ki Yoruba tunaitwaje? So point yako haiwezi kuwa proof
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…