Okoth p'Bitek
JF-Expert Member
- Jan 11, 2019
- 1,124
- 1,384
Kwanini aumbe watu ambao hawatafuata matakwa yake?Wajenzi wa babel walitaka wasisambae duniani. Hilo ndo lilikuwa kosa si kujenga babel. Hata wangeachwa wajenge wasingefika mbinguni. Kosa lilikuwa kutokutaka kusambaa na kuijaza dunia, mpango wa MUNGU si watu wakae sehemu moja.
Na kipindi cha huo uumbaji hakujua kwamba hawa watu wataenda tofauti nayeye?
Mpaka aamue kuja kufanya marekebisho ina maana huyu mungu ana madhaifu.
Sent using Jamii Forums mobile app