Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Kweli ulimwengu wa sasa upo kwenye vitabu na sio muvie na miziki hilu ni jambo jema sana kwe kila mtu kusoma kitabu utashangaa unapata ubunifu wa kujuingizia kipato na kuwasiliana na watu ili upate fursa na kibali machobi pao mwenyewe nineanza kusoma

well said, nimewahi kuwa sehemu fulani namshangaa boss CEO yuko bize kwenye kompyuta masaa mengi, kuja kupeleleza muda mwingi anatumia kusoma vitabu softcopies. na nikagundua ndio kitu pekee kilichokuwa kinamtofautisha na watu wengine wote pale.

by reading good books, we expand our IQ
 

DANIEL 9:2 "Katika Mwaka wa kumiliki kwake, Mimi Daniel Kwa kuvisoma vitabu, nilifahamu hesabu ya miaka...... "
imekuwa ni desturi ya waandishi na manabii kusoma vitabu,

si kila kitu kiliandikwa kweye bibilia ndio maana yesu alisema kama ingekuwa hivyo basi dunia nzima ingekuwa karatasi na miti kalamu ili yote yatoshe.

tuamini bado kuna maarifa nje ya bibilia, kiuchumi, kijasilamali, kisiasa kimatibabu japokuwa havibadilishi ukweli kuwa bibilia imesheheni vitu vya pekee.

tusome vitabu
 
Kweli ulimwengu wa sasa upo kwenye vitabu na sio muvie na miziki hilu ni jambo jema sana kwe kila mtu kusoma kitabu utashangaa unapata ubunifu wa kujuingizia kipato na kuwasiliana na watu ili upate fursa na kibali machobi pao mwenyewe nineanza kusoma

Vipi mkuu una mafua?
 

Mungu akubarikimpendwa
 

Kwa wale walionitumia email nimewatumia hivyo vitabu. Tafadhali usitume PM au kuweka email yako kwenye hii thread sitaiona na pia itaniwia vigumu. Unaponitumia email inakuwa rahisi kureply kwa sababu vitabu tayari nimeshaviapload kwenye email yangu ni kucleack send tu. Karibuni sana mnaotaka vitabu hivi, ni bure kabisa.
 
Safiiiii..wewe ni mwanazuoni nguli..shkamoo bwana

By Robert Greene, eg. Law 9 says WIN TROUGH YOUR ACTIONS,NEVER THROUGH ARGUMENT...Tena mwandishi anaongeza kwa kusema INFECTION: AVOID THE UNHAPPPY AND UNLUCKY. YAH kwa pande yangu THE 48 LAWS OF POWER is the one
 
Dealing with Difficult People Secrets by David Brown & Believe in Yourself by Dr. Joseph Murphy.
 
Hata Ben Carson anajitahidi sana,ile Think Big na Gifted Hand inanipatia mzuka

Jamaa ni noma soma gifted hand alaf tafuta muvi yake kunaile sehemu wakati yupo mdogo aliingia kwenye uhuni akataka kumchoma kisu rafiki yake kikavunjika kimiujiza jamaa alikuwa na temper sana toka siku hiyo akatulia but credit nimempa mama hajui kusoma lakini akafanya wanaewapende kusoma akawa anawalazimisha wasome
 

kweli umetuma hata mimi umenitumia pia. Mzee wa one ya point 3 ,mekufwatilia sana katika mahojiano yako tbc1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…