MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,607
- Thread starter
- #261
Kweli ulimwengu wa sasa upo kwenye vitabu na sio muvie na miziki hilu ni jambo jema sana kwe kila mtu kusoma kitabu utashangaa unapata ubunifu wa kujuingizia kipato na kuwasiliana na watu ili upate fursa na kibali machobi pao mwenyewe nineanza kusoma
well said, nimewahi kuwa sehemu fulani namshangaa boss CEO yuko bize kwenye kompyuta masaa mengi, kuja kupeleleza muda mwingi anatumia kusoma vitabu softcopies. na nikagundua ndio kitu pekee kilichokuwa kinamtofautisha na watu wengine wote pale.
by reading good books, we expand our IQ