Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

View attachment 153768
THINK BIG ni miongoni mwa vitabu vilivyowahi kunivutia. Story yake inaonyesha jinsi ambavyo Hakuna Mtu ambaye hana uwezo. Kutoka Kuwa mtu wa mwisho darasani hadi kuwa daktari bingwa duniani mwenye kuheshimiwa. Prinsciples za kawaida tu ambazo zilitumiwa na mama asiyejua elimu. akifanya kazi kama HOUSEGIRL kwenye nyumba za matajiri aliwawezesha vijana wake wawili mmoja kuwa Engineer na mwingine kuwa Daktari bingwa duniani.

Talent: Our Creator has endowed all of us not just with the ability to sing, dance or throw a ball, but with intellectual talent. Start getting in touch with that part of you that is intellectual and develop that, and think of careers that will allow you to use that.

Honesty: If you lead a clean and honest life, you don't put skeletons in the closet. If you put skeletons in the closet, they definitely will come back just when you don't want to see them and ruin your life.

Insight: It comes from people who have already gone where you're trying to go. Learn from their triumphs and their mistakes.

Nice: If you're nice to people, then once they get over the suspicion of why you're being nice, they will be nice to you.

Knowledge: It makes you into a more valuable person. The more knowledge you have, the more people need you. It's an interesting phenomenon, but when people need you, they pay you, so you'll be okay in life.

Books: They are the mechanism for obtaining knowledge, as opposed to television.

In-Depth Learning: Learn for the sake of knowledge and understanding, rather than for the sake of impressing people or taking a test.

God: Never get too big for Him.
Dah
 
The Godfather- Mario puzzo
The Bible
The Prince - Nicolo Machiavelli
The art of war - sun zu
The Wealth of Nations - Adam Smith
The Negro- W. B Dubois
The third Reich - Adolf Hitler
Dogma - Albert Pike
 
Kuna riwaya ya kiswahili inaitwa UA LA FARAJA, Ilinifanya niache maisha ya kurukaruka ktk mapenzi had Leo hii. Ni tamu ukiianza huwezi acha kuisoma tena.
 
Quruan Tukufu kwa vile mimi ni Islam...na bila shaka kwa Wakiristo itakuwa Biblia Takatifu
 
Back
Top Bottom