Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Seeds of conflicts
Deep thinking
For man of understanding
Qabasat
Changing is you(me)
Lengo la kuumbwa mwanadamu
 
Tafuteni hicho..kipo kwenye net...
Nimekisoma
Ni kizuri, kulingana na maisha tuliyo nayo kwa sasa...kwa wale wadadisi maisha yao yatabadilika..mkishindwa ku download mnieleke namna ya ku attach i book kwenye hii forum.



 
13 business ideas generating machines, Rich dad poor dad, The 4-Hour Workweek, millionaires fastlane,

Rich dad poor dad
 
 
Pinnochio [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
il kuna watu wanaakili ndogo sana ..!!mimi naimani mto mada alimaanisja nje ya vitabu vya dini..!! kwa maana ya kwamba kila mtu anaimani yake lakini ..!!tafsiri ilikuwa kwa vitabu tuvyo weza kuingiliana bila itikadi..!!
 
The psychology of intelligence analysis, by Richard Heure.
 
asante sana kwa alieanzisha hii thread, imenisaidia, nimpepata kitabu kimoja cha the rich man from babylon, kikubwa nilichosoma ni kuweza 1/10 ya mapato yote unayopata, NATAFUTA KITBU CHOCHOTE CHA STRTEGIES OF WAR, THANK U
 
BIBLIA TAKATIFU ndo kitabu pekee kilichoweza kuyabadili maisha yangu na bila Biblia cjui maisha yangu yangekuwa ya ajabu namna gani Ahsante MUNGU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…