Safi sana Mkuu,endelea na utamaduni huo huo wa kusoma vitabu haba na haba hujaza kibaba.1. 48 rules of power. Kimenifunza sana hasa rule no. 1 'NEVER OUTSHINE YOUR MASTER'
2. RICH DAD POOR DAD. Nimesoma page kama 10 tu lakini kimenibadilisha sana.
3. THE POWER OF POSITIVE THINKING. Sijakimaliza bado ila kiko poa
Ni nzuri Ukasoma na vitabu tofauti tofauti ili upate maarifa lukuki.Biblia! Haina mfano! Ni Neno LA Mungu tena li hai!
Mwandishi ni naniKinatwa
GOD CAN....when you cannot.
Hiki kitabu kina kila aina ya Tatuzi, majibu,faraja za pekee .
Hakika kimenisaidia sana
Mkuu,unaweza kutuwekea sofcopy(kitabu hicho) hapa kwa Uzi...?The great ponds. Kimenifanya niwe na vimisemo vya mkato sana
Jamaa anaitwa WAGO THE LEOPARD killer. Hahahahaha ni hatari sana alisumbua sana chioluMkuu,unaweza kutuwekea sofcopy(kitabu hicho) hapa kwa Uzi...?
Ni mnaigeria aliye andika kitabu hicho...?Jamaa anaitwa WAGO THE LEOPARD killer. Hahahahaha ni hatari sana alisumbua sana chiolu
Unajipinga mwenyeweSijawahi soma kitabu chochote ila natamani na ninapenda sana kusoma vitabut