Dahafrazeril
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 1,500
- 2,058
I agree with you, Charles.Tao Te ching kitabu kizuri
Naomba ukitafute "Moral saying's of Publilius Syrus". Kina maudhui the same na "Tao Te Ching".
Sharing Is Caring.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I agree with you, Charles.Tao Te ching kitabu kizuri
The Holly Bible,Vitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadharia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile.
Hapa tujadili nguvu ya vitabu katika maisha ya mtu yawezekana ulisoma wewe au umewahi kukisikia kwa watu tushirikishane.
Kuna wengi tumebadilishwa au kuboreshwa maishani mwetu kiafya, kijamii, kibiashara, kitaaruma, kimitazamo, kiimani, kimwili, mahusihano nk kupitia vitabu.
Kitabu gani ambacho kiligusa maisha yako au kukubadilisha na unatamani wanajf wenzako tujifunze pia, unaweza kueleza kimekusaidiaje kwa ufupi kama hutojali.
=========
Unaweza kujipakulia au kujisomea baadhi ya Vitabu kwenye hii thread=>Vitabu vilivyowahi kubadilisha maisha yako
Ukisoma "Think and grow rich-Napoleon Hill" lazima utakuja kuedit hiyo reply yako.Rich dad poor dad mh! kina nondo sana!
[emoji106] [emoji106]Ukisoma "Think and grow rich-Napoleon Hill" lazima utakuja kuedit hiyo reply yako.
NOTE:
Nimesoma vyote hivyo viwili na nilianza na hicho cha Kiyosaki nikawa nakisifu kama wewe ulivyoandika
![]()
2&3 mm ni shaidi1. 48 rules of power. Kimenifunza sana hasa rule no. 1 'NEVER OUTSHINE YOUR MASTER'
2. RICH DAD POOR DAD. Nimesoma page kama 10 tu lakini kimenibadilisha sana.
3. THE POWER OF POSITIVE THINKING. Sijakimaliza bado ila kiko poa
the impossible is possible by paul masson
Mkuu pitia page za nyuma apo kuna link imewekwa na itakupatia hicho kitabu bila shidaNakitafuta hichi "The 7 habits of highly effective people" mwenye nacho tafadhali
You are welcome boss,i hope umesoma origin ni balaa sana,suspense za kufa mtu nilimaliza in 2 days. Dan brown yupo vizuri mno,well informed pia.poa sana