Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Mwenye kitabu hicho cha ANOTHER WAY OF WINNING BY PEP GUARDIOLA naomba anitumie wanajamvi
 
Vitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadharia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile.

Hapa tujadili nguvu ya vitabu katika maisha ya mtu yawezekana ulisoma wewe au umewahi kukisikia kwa watu tushirikishane.

Kuna wengi tumebadilishwa au kuboreshwa maishani mwetu kiafya, kijamii, kibiashara, kitaaruma, kimitazamo, kiimani, kimwili, mahusihano nk kupitia vitabu.

Kitabu gani ambacho kiligusa maisha yako au kukubadilisha na unatamani wanajf wenzako tujifunze pia, unaweza kueleza kimekusaidiaje kwa ufupi kama hutojali.

=========

Unaweza kujipakulia au kujisomea baadhi ya Vitabu kwenye hii thread=>Vitabu vilivyowahi kubadilisha maisha yako
The Holly Bible,
The Richest man in Babylon,
Think and grow rich,
Rich Dad Poor Dad,
Mwanzo wa Kuwa Tajiri by Mabula Jilala(Tz).
 
Rich dad poor dad mh! kina nondo sana!
Ukisoma "Think and grow rich-Napoleon Hill" lazima utakuja kuedit hiyo reply yako.

NOTE:
Nimesoma vyote hivyo viwili na nilianza na hicho cha Kiyosaki nikawa nakisifu kama wewe ulivyoandika

napoleon-hill-think-and-grow-rich.jpg
 
Ukisoma "Think and grow rich-Napoleon Hill" lazima utakuja kuedit hiyo reply yako.

NOTE:
Nimesoma vyote hivyo viwili na nilianza na hicho cha Kiyosaki nikawa nakisifu kama wewe ulivyoandika

napoleon-hill-think-and-grow-rich.jpg
[emoji106] [emoji106]
 
Mwanzo wa Kuwa Tajiri by Mabula Jilala(Tz).
Naomba hiki
 
Nakitafuta hichi "The 7 habits of highly effective people" mwenye nacho tafadhali
 
haya haya wale wapenzi wa fiction novels,download hapa novels tatu in pdf format za lile gwiji liliondiak the davinci code yaani Dan brown
Kuna INFERNO,LOST SYMBOL NA ORIGIN AMBACHO NDICHO LATEST CHA MWAKA HUU
kwa wale ma bashite wa kolomije wasiojua lugha pita kushotoooooo,hapa ni kwa wajanja tu tunaofatilia mambo ya professor langdon kwenye vitabu na adaptations za hollywood
 

Attachments

Natafuta soft copy ya kitabu kinaitwa supply chain and logistics management kimeandikwa na Paul A. Myerson nipate . Japo link ya kupata softcopy lakini isiwe ya Amazon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom