Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

41iyWT8UrVL._SY400_.jpg

Kitabu kizuri sana,kama ni mpenzi wa vitabu itapendeza ukikipitia na kujiokotea maarifa,mbinu Tofauti-tafauti katika mapambano ya kilasiku ya mwanadamu.

Njinsi ya kujenga na kuwa na mtazamo chanya katika maisha;

Kutokata tamaa ya maisha na changamoto zake;
 
1. 48 rules of power. Kimenifunza sana hasa rule no. 1 'NEVER OUTSHINE YOUR MASTER'
2. RICH DAD POOR DAD. Nimesoma page kama 10 tu lakini kimenibadilisha sana.
3. THE POWER OF POSITIVE THINKING. Sijakimaliza bado ila kiko poa
Safi sana Mkuu,endelea na utamaduni huo huo wa kusoma vitabu haba na haba hujaza kibaba.
Hapo kwa 48 rules of power
Napenda-
Law 2: Never put too much trust in friends,learn how to use enemies.

Law 15: Crush your enemy totally.

Law 16: Use absence to increase respect and honour!!
 
Biblia! Haina mfano! Ni Neno LA Mungu tena li hai!
Ni nzuri Ukasoma na vitabu tofauti tofauti ili upate maarifa lukuki.

Soma hata Qur'an au Buddhism uone wanasemaje huko.


"Doubt Everything find your own light"
 
The great ponds. Kimenifanya niwe na vimisemo vya mkato sana
 
Biblia, upande wangu biblia imekuwa kitabu ambacho kimeweza kubadilisha maisha yangu , pia baadhi ya marafiki zangu---- naomba ukipata mda soma biblia.
 
Back
Top Bottom