Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

books
hiki kweli kabisa kilinijengea utaratibu wa kununua na kusoma vitabu vya aina hii, baada ya kungudua kuwa kilinibadilisha katika kufikiri na kujudge vitu..pia kilinifanya kuwa mtu wa vitendo.
 
1. The richest man in babylon
2. Rich Dad, Poor Dad
3. Retire rich, retire young
4. Unlimited Power
5. Holy bible
6. The Power of subconscious mind
 
Back
Top Bottom