Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Nimekua nikianguka mara kwa mara katika mipango yangu. Ntajitahidi nifanye sampling ktk vitabu vilivyokuwa frequently nominated hapa ili vinisaidie kubadili mitizamo yangu.
Asante sana @MSEZA mkulu kwa kuleta uzi huu pia pongezi za dhati kwa wadau wote mliochangia thread hii.
 
Last edited by a moderator:
Only Bible hayo mavitabu mengine yatakuvuruga akili

mkuu ni kweli biblia ina kila kitu na pia kuisoma inaongeza IQ. Lakini hata waandishi wa bibilia walisoma vitabu.
1. paulo aliwaambia wagiliki wanamuabudu Mungu wasiomjua kwa sababu yeye aliijua hata elimu yao kwa kusoma vitabu.
2. Daniel pamoja na elimu ya Mungu alikuwa Msomi mashuhuri wa chuo kikuu cha babeli chini ya nebukadneza.
3. vilikuwepo vyuo vya manabii (kitabu wafalme)

tunapaswa kupanua mawazo kwa kusoma vitabu mablimbali na kuchukua vile tu vitakavyofanya kazi maishani mwetu mkuu. bado kuna elimu zaidi hata nje ya biblia.
 
The secret of millionaires mind,richdad poor dad,richest man in Babylon,the magic of thinking big,think and grow rich,the monk who sold his Ferrari hivi ndo naona viliniifanya nibadili uelekeo wa maisha yangu.na vingine vingi too bad naona npo nyuma ya malengo mwaka huu ya kusoma vitabu 20 na ndo kwanza nipo cha NNE,mwaka Jana nlitimiza malengo

nimependa stratergy zako
 
Maada nzuri sana. Kama alivyoshauri mmoja wetu, ni vizuri tukawa na jukwaa la kujadili vitabu. Kitabu kilichonibadilisha kinaitwa " AWAKEN THE GIANT WITHIN BY ANTHONY ROBBINS", It is a must read book.
 
ninahitaji hivyo vitabu nikinunua sisomi ila nikiazima kwa masharti nitasoma alieko dar plz niambie nikufate popote uniazime kwa masharti magumu

jitahidi kusoma vitabu, yawezekana matatizo yanayokusibu yamekwishatafutiwa ufumbuzi tayari miaka hata mia iliyopita na ni kupitia vitabu unaweza kupata challenge na kupanua mawazo.

ni ngumu lakini inabidi
 
nimependa stratergy zako

Mkuu maamuzi tu vitabu vinasaidia sana kuanzia lugha mpaka maisha kama the secret of successful millionaires watu wengi maisha yetu tuliokulia yanatufanya tuone kuwa na hela ni evel thing,its alla bout blue print yani hela inaumuhimu sna kunasehemu akasema ukiwa nahela
Huangalii menu list we ukiwa na hamu ya kuku unaagiza kuku sio sisi tusio na hela unachungulia kipi bei rahisi
 
Back
Top Bottom