GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Hiki kitabu ni nomaaaaa aise, kiko poa.NI VIGUMU KUNISHAWISHI KAMA KUNA KITABU KIZURI ZAIDI YA HIKI.
Nimesoma zaidi ya vitabu 150 mpaka sasa ila hiki ni mwisho wa matatizo.Vitabu wanavyovitaja nimevisoma karibu vyote
View attachment 1001069
Yeah, there you are.Kitabu kilichonibadilisha
The monk who sold his Ferrari by Robin Sharma
Sent using Jamii Forums mobile app
hii ni master pieceUkisoma "Think and grow rich-Napoleon Hill" lazima utakuja kuedit hiyo reply yako.
NOTE:
Nimesoma vyote hivyo viwili na nilianza na hicho cha Kiyosaki nikawa nakisifu kama wewe ulivyoandika
Hivi kwa nini mnapenda sana hela!Lipo group moja la ma full consciousness nondo nyingi sana za kujitambua from different sources za vitabu; lina ada ya buku tano kwa mwezi; mi ni member sijutii kuwa huko
Think and grow rich......kisome hicho hlf uje uifute hii post yako
I am in need of the Book "The Total Money Makeover by Dave Ramsey" anyone with this book please share.
Kitafute mkuu...kina madini
Vp mkuu hicho kitabu kipo fresh ulivyokiona mana lecturer wang mmoja hiv aliniambia nikisome na had leo sijasoma- Magic of thinking big
- Change your thinking change your life
- The power of your subconsious mind
Wiki hii biz naendelea kusoma kitabu cha Darren Hardy "The compound effect"
Sent using Jamii Forums mobile app
You are a life server
Vitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadharia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile.
Hapa tujadili nguvu ya vitabu katika maisha ya mtu yawezekana ulisoma wewe au umewahi kukisikia kwa watu tushirikishane.
Kuna wengi tumebadilishwa au kuboreshwa maishani mwetu kiafya, kijamii, kibiashara, kitaaruma, kimitazamo, kiimani, kimwili, mahusihano nk kupitia vitabu.
Kitabu gani ambacho kiligusa maisha yako au kukubadilisha na unatamani wanajf wenzako tujifunze pia, unaweza kueleza kimekusaidiaje kwa ufupi kama hutojali.
=========
Unaweza kujipakulia au kujisomea baadhi ya Vitabu kwenye hii thread=>Vitabu vilivyowahi kubadilisha maisha yako
[/QUOT]
Change your thinking change your life