Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Ukisoma "Think and grow rich-Napoleon Hill" lazima utakuja kuedit hiyo reply yako.

NOTE:
Nimesoma vyote hivyo viwili na nilianza na hicho cha Kiyosaki nikawa nakisifu kama wewe ulivyoandika

napoleon-hill-think-and-grow-rich.jpg
hii ni master piece
 
I am in need of the Book "The Total Money Makeover by Dave Ramsey" anyone with this book please share.
 
The book is my royal best friend....sijawahi salitiwa na kitabu hata siku moja. Vitabu vimenifanya ni badili mtazamo na kujenga imani yangu upya. Nilianza kusoma vitabu vya art of living mwaka 2015. Kitabu changu cha kwanza ni hiki hapa "sixteen laws of success by napoleon hill". Mpaka sasa ni shasoma vitabu vingi sana na bado nafarijika na vitabu mpaka sasa.

Mpaka katika smartphone nina application za vitabu 16. Ambavyo nina mpango wa kuvisoma ndani ya miezi miwili tu nishasoma viwili hadi sasa.
 
- Magic of thinking big
- Change your thinking change your life
- The power of your subconsious mind

Wiki hii biz naendelea kusoma kitabu cha Darren Hardy "The compound effect"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadharia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile.

Hapa tujadili nguvu ya vitabu katika maisha ya mtu yawezekana ulisoma wewe au umewahi kukisikia kwa watu tushirikishane.

Kuna wengi tumebadilishwa au kuboreshwa maishani mwetu kiafya, kijamii, kibiashara, kitaaruma, kimitazamo, kiimani, kimwili, mahusihano nk kupitia vitabu.

Kitabu gani ambacho kiligusa maisha yako au kukubadilisha na unatamani wanajf wenzako tujifunze pia, unaweza kueleza kimekusaidiaje kwa ufupi kama hutojali.

=========

Unaweza kujipakulia au kujisomea baadhi ya Vitabu kwenye hii thread=>Vitabu vilivyowahi kubadilisha maisha yako
[/QUOT]
Change your thinking change your life
 
Back
Top Bottom