Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,789
Hii anybooks ni tovuti ,au app?Download app inaitwa ' AnyBooks utavipata vyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii anybooks ni tovuti ,au app?Download app inaitwa ' AnyBooks utavipata vyote
AppHii anybooks ni tovuti ,au app?
Hahhahahaa"Better yourself books" simkumbuki mwandishi ni nani wala Title ya Kitabu,but kina chapters kama.
.Take time to live.
.Take time to love.
.Take time to eat.
.Take time to Sleep.
.Take time to Die.
Yaani hizo ni baadhi ya chapter nnazokumbuka,nakitafuta sana hicho kitabu.
Mwl.RCT
Free From Addiction....mwandishi simkumbuki ila ndio kiliweka msingi wa mie kuacha pombe,bangi na sigara plus ukorofi....
Kimonesha practical methods za kuacha ulevi wowote ule...pamoja na nguvu ya maombi. Kitafute tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadharia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile.
Hapa tujadili nguvu ya vitabu katika maisha ya mtu yawezekana ulisoma wewe au umewahi kukisikia kwa watu tushirikishane.
Kuna wengi tumebadilishwa au kuboreshwa maishani mwetu kiafya, kijamii, kibiashara, kitaaruma, kimitazamo, kiimani, kimwili, mahusihano nk kupitia vitabu.
Kitabu gani ambacho kiligusa maisha yako au kukubadilisha na unatamani wanajf wenzako tujifunze pia, unaweza kueleza kimekusaidiaje kwa ufupi kama hutojali.
=========
Unaweza kujipakulia au kujisomea baadhi ya Vitabu kwenye hii thread=>Vitabu vilivyowahi kubadilisha maisha yako
From the streets to the parliament- Joseph Mbilinyi(mr2)
justusj37@gmail.com Naomba unitumie mkuu
vp mkuu huwezi nitumia soft copy mana nimekitafuta xana hichonlitabu sijakipata kakaThe Big picture by Ben Carson kilinifanya nijue vitu gani vya kuvipa kipaumbele katika maisha yangu. Hakika nimenifanya nione na kufikiria baadhi ya masuala ambayo hayaonekani na kufikirika kirahisi
kaka, naomba unitumie copy kama unacho!1.The way of the superior man by david deida
How to win and influence people by Dale Carnegie, humu nimejifunza principle ya "Dont Complain,Critisize or condemn people".