Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rich dad, poor dadVitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadharia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile.
Hapa tujadili nguvu ya vitabu katika maisha ya mtu yawezekana ulisoma wewe au umewahi kukisikia kwa watu tushirikishane.
Kuna wengi tumebadilishwa au kuboreshwa maishani mwetu kiafya, kijamii, kibiashara, kitaaruma, kimitazamo, kiimani, kimwili, mahusihano nk kupitia vitabu.
Kitabu gani ambacho kiligusa maisha yako au kukubadilisha na unatamani wanajf wenzako tujifunze pia, unaweza kueleza kimekusaidiaje kwa ufupi kama hutojali.
=========
Unaweza kujipakulia au kujisomea baadhi ya Vitabu kwenye hii thread=>Vitabu vilivyowahi kubadilisha maisha yako
itabid nianze kusoma vitabu
A MONK WHO SOLD IS FERRARI-ROBIN SHARMA
sawa mkuuSOMA NDUGU YANGU, HAKUNA AMBACHO KATIKA MAISHA KUNA WATU HAWAJAONA
ART OF LIVING AND SPIRITUAL ENLIGHTENMENTKinahusu nini mkuu?
Robin sharma vitabu vyake vyote hajawahi kuniangushaA
ART OF LIVING AND SPIRITUAL ENLIGHTENMENT
Karibu natafsiri kitabu chochotenapenda kusoma vitabu ila kidhungu ndo issue