Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,876
- 3,942
It will give you more than motivation mkuu,Nataka nianze kukisoma hiko kitabu kabla sijaingia katika program yangu ya kuelekea katika kazi yangu ninayoipenda,i hope it will motivate me to not give up
Nilikisoma enzi niko secondary nilikuwa napitia magumu ila kilinitia moyo sana. Nilikipoteza ila nilitafuta soft copy nikaipata huwa narudia rudia mara kwa mara kukisoma.