Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Nataka nianze kukisoma hiko kitabu kabla sijaingia katika program yangu ya kuelekea katika kazi yangu ninayoipenda,i hope it will motivate me to not give up
It will give you more than motivation mkuu,

Nilikisoma enzi niko secondary nilikuwa napitia magumu ila kilinitia moyo sana. Nilikipoteza ila nilitafuta soft copy nikaipata huwa narudia rudia mara kwa mara kukisoma.
 
Asante sana mkuu nitakutafuta kama kuna ambavyo vitanishinda kuelewa
 
NI VIGUMU KUNISHAWISHI KAMA KUNA KITABU KIZURI ZAIDI YA HIKI.

Nimesoma zaidi ya vitabu 150 mpaka sasa ila hiki ni mwisho wa matatizo.Vitabu wanavyovitaja nimevisoma karibu vyote

View attachment 1001069
Hata mimi nakipenda sana hiki kitabu kila mwezi lazima nikisome ndio kitabu bora namba moja duniani kingine kilichonivutia kidogo ni the way of superior man nacho ni hatari
 
Who else anaepata nondo za vitabu kwa njia ya audio kama mimi.

Wazee wa audiobooks tujuane tafadhari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…