Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Vitabu vingi mnavyovitaja ni vya kiingereza, sisi ambao lugha hatuijui, inakuwaje wadau... Tumen na vya kiswahili. Apart from bible
 
Nilikisoma nikiwa advance kilinifanya nikasoma organic chemistry bila tuition na nika Master!!
 
PASSED LIKE A SHADOW.

Ni kipindi ambacho nilianza mambo ya ujana mihemuko mingi, nilipokisoma kile kitabu kilinisha sana, ghafla tabia, mienendo nilibadiri hadi home walishanga.

Urafiki na mabinti ndo ikawaga kwa heri.
 
ila hivyo vitabu ni special kwa wanaojua kingereza pekee au mana vingi vipo kwa lugha io

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
"Poor Dad Rich Dad" by Robert Kiyosaki
 
Nice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…