Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?


encyclopedia
 
Kipo kimoja kinaitwa "Who Moved My Cheese" cha Dr. Spencer Johnson. Mm kilinibadisha embu jaribu kukisoma ni kifupi kama 40 pgs only na kiko free unaweza kudownload free ktk internet.
 
BATTLE FIELD OF THE MIND by Joyce Meyer.
Hiki kitabu kimefanyika msaada sana kwangu. Nilikuwa mtu we kukata tamaa mapema sana na akili yangu ilijawa na negative thinking also I had a doubtful and confused mind.
But baada ya kusoma hiki kitabu nimekuwa Hutu sana. Please and please kama una hali kama nliyokuwa nayo get your copy. Youl come to testify.
 

Uko vizuri!
 
Mkuu!
Heshima yako. Kuna kitabu ukisoma huwa kinakushtua kuwa hapo uliko siyo sawa. Halafu ukiendelea kusoma vitabu vingine unazidi kupevuka katika uelekeo mpya. Vitabu vilivyonibadilisha sana maisha yangu ni
  1. Who moved my cheese?
  2. A monk who sold his Ferrari na
  3. The Godfather
 
Uko vizuri!

Kimtindo mkuu nlikuwa sipendi kusoma vitabu ila 2012 nlifanya u turn moja hiyo nimesoma vitabu mpaka now imekuwa habit week hii naanza I Am MALALA the girl who stood up for education and was shoot by the taliban
 
Nimesoma na mwendelezo huu wa Gifted Hand
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…