mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 796
mapenda kusoma vitabu,lkn nakosa mazingira bora. si vibaya kusoma kitabu chochote na kupata mawwzo ya mwandish si lazima vile vya kimaisha. kila writer ana kitu kitafute
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Think big ch Ben carson kilinisaidia sana! pale alipozungumuzia kuhusu kugundua kipawa ulicho nacho.
The 7 habits of highly effective people by Stephen R. Covey. I say This book changed my life completely.
mkuu tupia email yako pm , nikupe baadhi nilivyonavyo na upate maujanja ya kuvipata bila shida kwa sasa ninavyo karibu 550 in my drive and dropbox .mimi kwa sasa natafuta kitabu cha MARC SOMMERS,fear in ngoland{burundi refugees in urban tanzania } au niandikie uvugizi@gmail.comwakuu natafuta ile thread ambayo vitabu vipo uploaded tayari.. msaada wenu nimeitafuta hiyo thread bila mafanikio.
Thats great,congratulations, kitabu hiki kingetumika katika mitaala yetu, kingebadilisha vijana kwa asilimia kubwa sana , nami kimenisaidia sana kuhusu mtazamo wa kuajiriwa na kujiajiri .Mi sijasoma vitabu vingi saana but nlifanikiwa kusoma kitabu cha rich dad poor dad (na chenyw sikukimaliza) lakin mara moja kiliacha alama into my life hasa katika kubadili mtazamo wangu kuhusu, elimu ya darasani, namna ya kuifanya pesa ikutumikie badala ya kuitumikia na mtazamo wa kujiajiri badala ya kuajiriwa! Nimesoma kdg tu nmeona impact yake je, ningesoma chote? Ntakitafuta tena nkimalizie asante sn mkuu Makirita Amani mana ndie alienitumiaga kitabu hiki na vingne pia ntavitafuta vitabu vingne wakuu walivyovisema hapa ilinivisome, ubarikiwe sana mtoa uzi!
je una vyo softcopy. so we can share .kuna kimoja kinaitwa the power of now by eckhart tolle , mama oprah winfrey na bill gate wamekisifia sana, nimekipata naona ni kizuri.just email me uvugizi@gmail.com orPM,So we can share.kwa kifupi kinasema ; you have to be as present as possible -we have two lives. and the second one start NOW, when we realize that we only have one, really nothing is more than today. Because we cant change yesterday or accurately predict tomorrow , but you can ruin today.Jamani vipi kuhusu ile book club/reading club?
Mtoa wazo tusaidie, ulitaka iweje? I mean utaratibu wake.
Kwa upande upande wangu vitabu vimenisaidia sana. Yaani vilivyonisaidia ni vingi mpaka nashindwa kumention. Mfano ni vitabu vya sumbye kapena wa zambia:
How to be a Wise Leader
• How to Deal with Stubborn Habits
• How to Succeed
• How to Succeed in your Studies and Work
And many more
mbona vya waafrika na hata wa TZ vipo kibao tu vinaheshimika .kama kitabu kile cha mama wa zimbabwe jina J. NOZIPO MARAIRE na kitabu chake cha zanzele( a letter for my daughter).muhimu ni ujumbe uliomo na kimepokelewa vipi sokoni.kumbe wazungu ni kila kitu, mpaka vitabu tungeni na nyie sasa mnufaishe watanzania wasio jua kizungu
duu!!! hichi kitabu mwandishi ni nani , natumai kama kweli kipo online naweza kukipata , sijawahi kukisikia , kama unacho share nami ,nami nikupe vyangu . humu JF katika uploading nasumbuka kidogo nikikipata na kishusha humu watu wengi wakione naona kama cha kiswahili vile!qur an imebadili mausha yangu na kitabu cha ima wajinga mno ima werevu mno ndo kikatilia mizizi mawazo yangu
mkuu mimi nipo katika blog yako na tuna burudika na baadhi ya vitabu vyako. naweza pata hichi kitabu cha FEAR IN BONGOLAND(burundi refugees in urban tanzania ) by MARC SOMMERS. nakihitaji sana sanaUnahitaji vitabu gani mkuu?
Kitakuwa ni kizuri , kutokana na sermons zake emmanuel tv, navutiwa sana ,au una softcopy mkuuKitabu cha "Mirror" by prophet Tb Joshua, kwakweli ni kizuri sana, kimenibadilisha sana maisha yangu since kimenipa ujasiri wa kufanya na kuwaza big.
kitabu kingeweka katika kiswahili nina imani watu wengi wenye vurugu za imani na shule ndogo (bigoted), kingeweza kuwasaidia sana![]()
Ni kizuli, Ni moja kati ya vitabu nilivyovipenda